Mshahara wa Samatta kwa wiki ni sawa na show 10 za msanii wenu Diamond

chuki ikizidi hugeuka uchawi ndo kinachomtafuna mleta mada
 
Hivi kipato cha Mond kinatokana na show tu.

*Show
*wasafi tv
*wcb
*endosement
*wasafi festival projeect
*Online

Pigia faida anayoingiza Mond kwajumla ya vyote hivyo kwa mwaka then gawanya kwa 12 ndio utajua Mond ni nani.

Pitia Networth ya Mond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba anausotea miaka mingapi mkuu?
 
huyo samatta kwa wiki kama analipwa $ 15,000 ashukuru,

Samatta kwa Wiki hakosi $35000 kwenye mshahara

Beki huwa wanapokea mishahara midogo ila kwenye hiyo tena ya Samatta wanakula zaidi ya dola elfu ishirini sasa iweje Samatta striker kabisa azidiiwe mshahara na beki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…