Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

kaa na mzee wako akuelekeze maana ubongo wako ni karai lililojenga ghorofa 80
 
Kuna kipind nilishangaa sana kuona mdada anafanya kazi sheli tena analipwa tu laki na nusu kwa mwezi hyo ni hela ndogo sana lakin hapohapo kapanga apartment na ana simu ya laki 8+ na anavaa na kupendeza vizuri sana, Dah hawa wanaweka waangalie hivihivi wana miujiza yao?!!!, πŸ˜‚πŸ˜‚
Hatudangi,
 
😁😁😁😁🀣🀣🀣 Wengine wana danga na baba zao
 
Asante sana kaka
 
So utakuwa unafanyia tumbo bila maendeleo
Huu n muongozo tuu mkuu sio lazima uishi nayo kama ilivyo, ila mkuu 😎 kwa ht kama huna pesa ndio ushindwe ht kuweka msosi wa maana ndan?
 
Lakini mkuu tuongee tu ukweli kwa mshahara wa laki 3 kwa mwezi ni ngumu sana kufanya maendeleo yaan ni lazima uwe bahiri kupindukiaπŸ˜‚πŸ˜‚
So utakuwa unafanyia tumbo bila maendeleo
 
Utaweka msosi wa maana ukiwa umejiajili mkuu hizi kazi za watu ni mbaya sana hazina muda maalum wa kusitishwa
 
Unaishi mjini au kijijini
Kama ni mjini ni mji gani

Kama unaishi dar tafuta kazi chief laki tatu unataka ikae ikae kwa wapi sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…