Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

Inaweza kutosha kama ni bachelor na huna mambo mengi. Ili uweze kuwa na uhakika wa kumaliza mwezi mzima basi angalau on average kwa siku moja usizidishe shilingi 7,000/-

(Breakfast 1000, Lunch 2000, Dinner 2000, Nauli na Voucher 2000). Hapo maana yake usiwe na matumizi mengine ya ziada (yasiyo ya lazima). Hii itakusaidia walau kuwa na akiba kidogo mfukoni kwaajili ya dharura. Hapo tuki assume kuwa kodi, maji na umeme havipo kwenye hiyo hela.

Hapo sahau mambo ya kupiga gambe, kutembelea viwanja vikali na pia pisi kali utakula kwa macho labda upate wakukuhurumia tu.

Ila ndio harakati za maisha pambana kuna siku utatoboa jomba.
 
Niliwahi kuscreenshot hii kwa matumizi yangu

Screenshot_20240603-154208.png
 
Kama upo single na upo DSM na kazini unafika kwa nauli zetu 1200 T sh.
Utafanikiwa.

Unapopata hiyo anza na kutoa kusaidia MTU mama ,baba au MTU yeyote kuanzia 20k

Kutoa ndo huwa kunalinda mshahara pesa ,Mali na n.k

So unapota hela fata huu mtiririko

Tithing
Saving -pay ur self
Expenditures (spending).

Kuwa na Energy inayoprotec mambo yako.

Na njia bora ya kuiona hela yako hata Kama ni ndogo nikujizuia na anasa zote so abstain the all short term gratification.
 
Kama ungekuwa unakaa kaburini yaani ushakufa hiyo hela ingetosha lakini upo hai na una pumua hiyo hela ni kupalilia utumwa, yeyote anaekushauri kudunduliza hiyo 300k ati utoboe kwa mwezi ni upuuzi mtupu anataka uwe maskini kwanza ubongo utakufa kabisaaa kama unahitaji kutoka ni bora urudi kijijini ukaanzie zero kwenye shughuli za kujitegemea.
 
Inaweza kutosha kama ni bachelor na huna mambo mengi. Ili uweze kuwa na uhakika wa kumaliza mwezi mzima basi angalau on average kwa siku moja usizidishe shilingi 7,000/-

(Breakfast 1000, Lunch 2000, Dinner 2000, Nauli na Voucher 2000). Hapo maana yake usiwe na matumizi mengine ya ziada (yasiyo ya lazima). Hii itakusaidia walau kuwa na akiba kidogo mfukoni kwaajili ya dharura. Hapo tuki assume kuwa kodi, maji na umeme havipo kwenye hiyo hela.

Hapo sahau mambo ya kupiga gambe, kutembelea viwanja vikali na pia pisi kali utakula kwa macho labda upate wakukuhurumia tu.

Ila ndio harakati za maisha pambana kuna siku utatoboa jomba.
😂😂😂😂😂😂😂 Kwa mshahara wa 300k, Nashauri mademu wake wawe Beki tatu hawa ma slayqween asiwasogelee kabisa
 
Ahahah kila mtu anakipaji chache kuna watu wanalipwa 200k wanasave cha ajabu kuna watu wanalipwa 1 ML afu saving imemshinda kabisaaa
Mkuu huo mshahara wako pangilia mwenyewe kwasabab uneutafuta mwenyew

Hapa kuna watu watakushauri kuwa hiyo pesa ni ya baa tu ukilinganisha na mishahara yao
 
Back
Top Bottom