Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

Niliwahi kuscreenshot hii kwa matumizi yangu

View attachment 3015984
Ukisikia kuishi kwenye mstari na mahesabu makari ndioo ila bad news ni watu wawili tu kati ya kumi wanaweza hili kama mdau anaishi Dar hiyo hela bila kificho wala haya yakusema ni ndogo sanaaa atakuwa anatafutia tumbo tu na siku zinaenda
 
300k ndio mtaji nilikuwa naendeshea biashara yangu kwa mwezi nafunga mahesabu na 500k hapo nimetoa kila kitu kula na mazaga mengine

Ukiwa mfanyabiashara unatoboa na hiko kiasi kwakuwa utapata vipesa nje ya kitu unauza, nilikuwa nakula kwa mama ntilie kwa siku natumia chini ya elf7 ambazo nahakikisha hazitoki kwenye mtaji
 
Attachments

  • Screenshot_20240613-102606_1.jpg
    Screenshot_20240613-102606_1.jpg
    89.6 KB · Views: 15
Pesa bado itabaki mana sio kila kitu utanunua kila siku kuna vingine unaweza kuvuta zaidi ya miezi miwili ndio ukannua tena awe anaishi mwnyw tuu
Naposema nyumbani bado hawajalia ninamaanisha, mama, baba, ndugu maana ukiona mtu anapokea mshahara huo mara nyingi nyuma ana watu wanamtegemea huko na ndio maana ni vigumu kutoboa kama usipoziba masikio au usipopambana kwa jasho na damu.
 
Ukisikia kuishi kwenye mstari na mahesabu makari ndioo ila bad news ni watu wawili tu kati ya kumi wanaweza hili kama mdau anaishi Dar hiyo hela bila kificho wala haya yakusema ni ndogo sanaaa atakuwa anatafutia tumbo tu na siku zinaenda
kwa basic needs hiyo hela inatosha kabisa ila wengi wenu mnajiongelea wenyewe yani mnajipicture wenyewe kwa hiyo hela ndio maana mnaona haitoshi
 
Let's say umejikaza,huli vizuri,huvai vizuri,huna manzi we ni chaputa tu,na hata nauli mara nyingine unaamua kutembea ya mguu Ili Kwa 300k utunze 50k Kwa mwezi,Kwa mwaka ni 600k,let's say Kwa miaka kumi una 6milions tsh ndio unaamua kununua Passo used Ili uonekane unamaendeleo.Ningekuwa mm ni wewe ningekula Bata japo hata Kwa Bata haitoshi,kifupi hata kula itakuwa tia maji tia maji.
 
Jitahidi uwe unafunga, kula jioni tu.
Muda wako wa ziada jitahidi kutafuta kitu kingine cha kukuingizia kipato. Tafuta hata watoto wa majirani uwe unawapiga pindi. Anza kujibana na kufanya saving ili ufungue kiofisi cha kuku-boost
 
Utaandika na kuyapamba maandishi lakini ukweli utabaki kuwa ni poverty.

Kama ulikuwa hujui poverty ni nini basi ukiishi kwa style hiyo ndio umaskini wenyewe, upige vita kwa nguvu zako zote.

Hapo ukizaa mtoto unakuja kumpa mateso tu duniani.
Hakunaga mshahara unaotosha ndugu usimkatishe mwenzako tamaa.
Maisha ni malengo tu na mpangilio wa bajeti na matumizi.
Kuna watu wengi tu wanapokea mshahara kama huo na wanaendesha maisha yao vizuri tu.
Yaani unamtisha asizae kisa anapokea mshahara wa laki 3,kama ombaomba wa barabarani wamezaa watoto na wanawalea kwa nini ashindwe yeye mtu mwenye ajira yake
 
Jitahidi uwe unafunga, kula jioni tu.
Muda wako wa ziada jitahidi kutafuta kitu kingine cha kukuingizia kipato. Tafuta hata watoto wa majirani uwe unawapiga pindi. Anza kujibana na kufanya saving ili ufungue kiofisi cha kuku-boost
Awapige pindi kwani umeambiwa mtoa mada ni ndugu yake na Mpwayungu Village ebu acheni kukariri maisha unadhani kufundisha ni kazi ndogo
 
Back
Top Bottom