Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
CCM ni hatari...Yaani Miaka Mitano...Mtumishi anahangaikia kulipa deni la Milioni 5 tu..?!Shikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Ushauri fyatutafuta fisadi moja la mtaa wa kijani lenye pesa ambayo hazina hesabu likukopeshe kausha damu,mwisho wa siku litasahau kwa kuwa hazina hesabu wala haiishi🤣Shikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Kopa mkuu upate lessonShikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Nakumabi mkuu ,watu wote unaoona wamefanikiwa tambua kwamba 99% wamekopa na wanaendelea kukopa.Shikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Laki sita kabla ya makato ni hela ndogo sana, usijiingize kwenye matatizo zaidi kwa kukopa. Anza kwa kudunduliza kidogo kidogo kwa miaka kama mitatu kabla ya kuchukua hatua drasticShikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Wazo zuriKopa mkuu upate lesson
Nina familia ya mke na mtoto pia nipo mjiniJe wewe ni mtumishi wa kada ipi au hizi kada maalufu?,ofisi ina posho,dili,semina za kutosha?,una family yaani mke na watoto,je kama una mwenza anapiga mishe gani?,je utumishi wako unafanyia mjini au kijijini?