AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Mkopo wa 15m kwako sio mbaya ila lengo lako la ujenzi ndio bayaa mno hasa kwa sifa za mshahara,ulipo,family na miaka yako (tafuta namna yakufana hata 5m iwe inakua 30k+ pday then ukiona mambo yananona unaweza kuza iyo namna mwisho unajenga,namna yako ikabaki,na mkopo ukawa sio nakichomi juu ya makato uko bank