Mzee Wa Jambo
Member
- Aug 28, 2023
- 48
- 70
Kopa ila hakikisha hiyo biashara itakulipa!!! Vinginevyo utateseka kiongozi
Akichukua Huu Ushauri AtatoboaLaki sita kabla ya makato ni hela ndogo sana, usijiingize kwenye matatizo zaidi kwa kukopa. Anza kwa kudunduliza kidogo kidogo kwa miaka kama mitatu kabla ya kuchukua hatua drastic
Hakika wabongo 😂Kama upo na utumishi wako mjini na una family huo mkopowa 15m kwajili ya ujenz na biashara hutotoba utakuja pata sonona utaanza kunywa visungura maana ujenzi this day ni wamoto,pia nyumba ya kuishi mwenyewe hua haileti faida (kama biashara yako uliyoanza kama inamatumaini bora ukuze mtaji kwa mkopo na sio kujenga)
Hio haiwezekan kabisaHuna hiyo kazi au huo mshahara maana ungekuwa nao ungejua makato yake ni kiasi gani.
Hakuna namna yoyote mtumishi mwenye gross ya 600k au take home ya 600k anaweza kopa 15M mkopo wa miaka 5.
Hesabu zinakataa. Hii ni changamsha genge.
Unajua kila mtu ana standard zake za ujenzi. Mtu mwingine anataka tubatoke kwenye nyumba ya mama mwenye nyumba hata 2 rooms na choo kinamfaa.Kingine hiyo m15 ni ndogo sana kwa ujenzi ndugu. Tusikudanganye
Sawa, ila sio rahisi mkuu.. 15m? Labda kama anaishi kijijini. Na nyumba anayo jenga atumie matofali ya ku choma.Unajua kila mtu ana standard zake za ujenzi. Mtu mwingine anataka tubatoke kwenye nyumba ya mama mwenye nyumba hata 2 rooms na choo kinamfaa.
Ni kweli, binafsi nina ushuhuda,hali niliyoiona si mchezo ndomana nashauri mtu kama anaweza kuzungusha pesa kwanza apate faida ndipo ajenge kuliko kutumia pesa aliyoipata kwa maramoja inateketea yoteWengi wanaoshauri watu wasijenge kwanza ...karibia wote wao wanafanya ujenzj
Kwani unataka kusema nini?
Fanya majaribio kwa miezi 6, chukua hiyo laki 6 utoe makato ya mikopo uishi na Baki kila mwezi kwa miezi 6 uone maisha yatakuwaje kwa miaka 5 ukiwa na huo mkonoShikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Kweli, aende kidimbwi wiki mzima.Kopa uishi maishi ya ndoto zako
Hata kwa siku 1
Kama una imani na biashara yako, weka mzigo wote hapo, Biashara ikifanya vizuri itajenga nyumba..Milioni 15 utajenga kibanda siyo Nyumba.Shikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Amani ya BWANA iwe nawe mkuu!Shikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Kivipi nipo tayari kupokea mshahara wa laki3Tuseme mil 5 unapeleka kwenye biashara na mil 10 unapeleka kwenye ujenzi. Hiyo nyumba labda kama ulishaanza unaenda kumalizia ila kama ndio unaanza kuanzia kuchimba msingi kitakulamba mzee. Nyumba hutahamia na maumivu ya makato yatakuwa makali zaidi
Net au take home mkuu baada ya makato yote12 months × 5 yrs= 60 Instalments.
Sasa 60 Instalments ÷ 15,000,000= 250,000 per month.
Atatakiwa kukawa 250k kila mwezi!
Sasa hakusema kama mshahara wake huo ni gross au net. Maana kuna PAYE, BIMA, MFUKO WA JAMII n.k.
Nimekosa la kusema sas hapo mkuu!
Hapo akikopa hela nyingi labla 5M kwa miaka mitano. Hesabu haipigiki mkuu.😊
Kama mshahara huo utakuwa ni gross hatoweza. Kama ni Net, pia hatoweza. Maana kuna sheria ya % ya kukopa ka mtumishi mkuu.
Ni take home mkuuKwa 600,000k full salary kukopa 15,m utajiumiza , labda kama utaweza kwenye biashara kabla ya kujenGA