Mshahara wangu Tsh. 600,000, nataka nikope milioni 15 nijenge na kuongeza mtaji wa biashara, naomba ushauri

Mshahara wangu Tsh. 600,000, nataka nikope milioni 15 nijenge na kuongeza mtaji wa biashara, naomba ushauri

Kama ukitaja kazi, level ya elimu na halmashauri kama ipo kijijini au mjini au taasisi uliyopo ushauri ndiyo utakua na maana zaidi.

Kwa sababu 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala na 1M ya afisa muuguzi wa Kakonko hii 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala ni bonge la deal kuliko hiyo 1M.
Nipo Arusha mjini
 
Gawa hyo hela kwenye mfumo wa 40_40_20 almaarufu 4_4_2
Usiweke hela yako yote sehemu moja...
Ushauri wangu Nunua viwanja hata vinne kama investment,inayobaki sasa ndio uangalie biashara itakayokua inakuingizia kidogo kidogo kuendesha maisha yako
 
Kama ww na mwenza wako wote ni watumishi na ofisi zenu zina diri,michongo na magendo unaweza kopa tu maana mwenza wako atasaidia majukumu na wewe posho,dili na magendo yatafanya mkopo kua kama kambu kanakokupigia kelele tu na ujenz unaweza fanya kwa huakika kama wewe wako ni mshahara tu 600k asee kaa mbali na mkopo maana utataman hata mwamposa akufutie deni (KUMBUKA NCHINI KUNA UPEPO UNAVUMA BILA KUONESHA UWELEKEO)
 
CCM ni hatari...Yaani Miaka Mitano...Mtumishi anahangaikia kulipa deni la Milioni 5 tu..?!
Hata kama Nyumba imekamilika sijui mnaishije sasa kwa Miaka hiyo ya deni??!Chakula,Mavazi,Ada,Bili za Umeme/ Maji,Harusi,Sadaka,Maji ya Upako,Biskuit za Upako na mengineyo.....?????!!!
Nawaona Walimu-CCM wengi suluhisho ni ku top up ..na kuendelea kuwa Watumwa wa Madeni mpaka anastaafu alishatumia mpaka sehemu ya Pensheni ya Kustaafu..
Na bado watu wanaitafuta iyo ajira ya Lakini sita na hawaipati🤔
 
Biashara sawa ila kujenga sikushauri kwa mazingira hayo,wewe tengeneza mitego ya kupata hizo milioni 15 za kutosha kisha uanze ujenzi
Kujenga kunamaliza hela sana
 
Ebu chap vuta mpunga huo ujenao hapa kitambaa cheupe nikupe ushauri wa maana kabisa allooo....😎
IMG-20260702-WA0012.jpg
 
Kama ukitaja kazi, level ya elimu na halmashauri kama ipo kijijini au mjini au taasisi uliyopo ushauri ndiyo utakua na maana zaidi.

Kwa sababu 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala na 1M ya afisa muuguzi wa Kakonko hii 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala ni bonge la deal kuliko hiyo 1M.
Haya mnayaita mahesabu gani Mkuu
 
Huna hiyo kazi au huo mshahara maana ungekuwa nao ungejua makato yake ni kiasi gani.

Hakuna namna yoyote mtumishi mwenye gross ya 600k au take home ya 600k anaweza kopa 15M mkopo wa miaka 5.

Hesabu zinakataa. Hii ni changamsha genge.
Kwani milioni 15 inafall kwenye mortgage ya miaka mingapi mkuu?
 
Back
Top Bottom