Nipo Arusha mjiniKama ukitaja kazi, level ya elimu na halmashauri kama ipo kijijini au mjini au taasisi uliyopo ushauri ndiyo utakua na maana zaidi.
Kwa sababu 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala na 1M ya afisa muuguzi wa Kakonko hii 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala ni bonge la deal kuliko hiyo 1M.
Kwa nilichoandika ni kwakua katibu wa afya ana semina, mafunzo na mialiko kuliko afisa muuguzi.Nipo Arusha mjini
Amuone Mwana,FA.ana bingo na ndinga za bei ya hatari...wanasema..Ushauri fyatutafuta fisadi moja la mtaa wa kijani lenye pesa ambayo hazina hesabu likukopeshe kausha damu,mwisho wa siku litasahau kwa kuwa hazina hesabu wala haiishi🤣
Nina 33 mkuu NMB wameniambia nikichukua hiyo hadi namaliza mkopo wao watakuwa washakata milioni 15200000 tu sijui ni kweliUna umri gan? Yani maswali kwako ni mengi sana
Unapata ngapi mkuuTake home ya Laki 6 hupati Mil 15 kwa 5 years.
Na bado watu wanaitafuta iyo ajira ya Lakini sita na hawaipati🤔CCM ni hatari...Yaani Miaka Mitano...Mtumishi anahangaikia kulipa deni la Milioni 5 tu..?!
Hata kama Nyumba imekamilika sijui mnaishije sasa kwa Miaka hiyo ya deni??!Chakula,Mavazi,Ada,Bili za Umeme/ Maji,Harusi,Sadaka,Maji ya Upako,Biskuit za Upako na mengineyo.....?????!!!
Nawaona Walimu-CCM wengi suluhisho ni ku top up ..na kuendelea kuwa Watumwa wa Madeni mpaka anastaafu alishatumia mpaka sehemu ya Pensheni ya Kustaafu..
Haya mnayaita mahesabu gani MkuuKama ukitaja kazi, level ya elimu na halmashauri kama ipo kijijini au mjini au taasisi uliyopo ushauri ndiyo utakua na maana zaidi.
Kwa sababu 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala na 1M ya afisa muuguzi wa Kakonko hii 600K ya katibu wa afya wa hospitali ya Mwananyamala ni bonge la deal kuliko hiyo 1M.
Kwani milioni 15 inafall kwenye mortgage ya miaka mingapi mkuu?Huna hiyo kazi au huo mshahara maana ungekuwa nao ungejua makato yake ni kiasi gani.
Hakuna namna yoyote mtumishi mwenye gross ya 600k au take home ya 600k anaweza kopa 15M mkopo wa miaka 5.
Hesabu zinakataa. Hii ni changamsha genge.