AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Hujui hesabu za mortigage wewe15,000,000➗600,000=25yrs
Una miaka 25 bila ya kutumia mshahara wako kufika hiko kiwango cha 15 million. Sasa utalipia mkopo vipi mkuu?.
Salary advance wanakata asilimia ngap?Je ukichukua mkopo utabakiwa na kiasi gani baada ya kukata marejesho
Niliwahi kuchukua salary advance nikaapa ogopa kitu mkopo
Duh kwa miaka mingap?Nina 33 mkuu NMB wameniambia nikichukua hiyo hadi namaliza mkopo wao watakuwa washakata milioni 15200000 tu sijui ni kweli
Aweke UTTAngalia kwenye huo mkopo wa milioni 15 kwa mwezi ungekatwa ngapi?
Hicho ambacho ungekatwa. Weka akiba hiyo pesa kwa miaka 5.
Tafuta akaunti nyingine iwe fixed ya miaka mitano. Dumbukiza hizo 300k au 250k kila mwezi kwa miaka mitano
Mipango ya CCM yote hiyo...Uchaguzi ukifika wanawaajiri wengi kisha wanawapa usimamizi wa vituo vya kupigia kura na posho ya elfu 50 na maelekezo juu ya ku-kwiba kura za CHADEMA na wanatii bila shuruti...acha Madeni yawaue tu.Na bado watu wanaitafuta iyo ajira ya Lakini sita na hawaipati🤔
Nyumba haitakwisha na bado utabaki na deni la kulipa mkopo na pagale ambalo huwezi kuhamiaShikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Ujenzi wa mjini na Kijijini tofauti ni ndogo sana kama nyumba yako ni standard.15 Milioni ni nyingi sana ukiwa huna na haujawai kuishika,
Je una kiwanja??kama unacho unataka kujenga mjini au kijijini?(Mahali kiwanja kilipo kama kipo) kujenga mjini ni gharama sana kuliko kijijini ila kujenga ni gharama..
Kama ni mtu wa starehe achana na mikopo (Starehe yaweza kuwa ya Pombe au wanawake) USIKOPE..Je una familia??kwa maana ya mke na mtoto au watoto???Kuna wanaokutegemea??
Wengi wanaoshauri watu wasijenge kwanza ...karibia wote wao wanafanya ujenzjBiashara sawa ila kujenga sikushauri kwa mazingira hayo,wewe tengeneza mitego ya kupata hizo milioni 15 za kutosha kisha uanze ujenzi
Kujenga kunamaliza hela sana
Kwani unataka kusema nini?Mia sita au sio!
Anataka solution kulingana na uhalisia wake, hajaja kujisifia. Hela ya aina yoyote ile inaweza pangiwa bajeti si lazima ianzie dola elfu ngapi huko unazoona ni nyingi.Dah ila dunia ya 3 majanga sana, mtumishi wa umma anajinasibu hadharani kabisa kulipwa usd 250 kwa mwezi!
That means haukopi 15M, hiyo 15M ndio marejesho ya jumla. NMB interest yao haichezi mbali na benki nyingine kubwa ni around 17% interest per annum.Nina 33 mkuu NMB wameniambia nikichukua hiyo hadi namaliza mkopo wao watakuwa washakata milioni 15200000 tu sijui ni kweli