Net au take home mkuu baada ya makato yote
Kwani mkuu haiwezekani kuishi kwa laki 3 kwa mwezi?Unaweza kopa ila sio 15M mzee! Mtashushana kwa miaka hiyo mitano. Ipo % ya kiwango cha mtu kukopa, usije ukaanza kwenda kazini na yeboyebo.
It is possible hata chini ya hiyo.Kwani mkuu haiwezekani kuishi kwa laki 3 kwa mwezi?
Kama ni hivyo basi nikopeIt is possible hata chini ya hiyo.
Kwani mkuu haiwezekani kuishi kwa laki 3 kwa mwezi?
Inabaki 360000 kaka nijilipue auUnaweza kuishi kulingana na mazingira yako, lakini kulinda hadhi ya mfanyakazi, Kuna sheria ya kubaki angalau na theluthi moja ya mshahara basic. Inapigiwa kwenye basic sio net.
Angalau ubaki na 33% ya basic mkuu. Nafikiri hiyo imewekwa kulinda welfare mkuu. 😊
Inabaki 360000 kaka nijilipue au
Hiyo 33% ya mkopo ama?Umepiga basic au umepigia take home iyo 600k??
Utakuwa umekosea, piga 33% kwenye mshahara wako kabla ya makato yeyote, tuone unabaki na ngapi! 😊
Hiyo 33% ya mkopo ama?
302500Piga 33% ya mshahara wako kabla ya makato yeyote, sheria ndio inataka wakikata deni kwa mwezi ubaki na pesa hiyo, isizidi hapo kwenda kulipa deni.
302500
Ni take home mkuu
Najua upo tayari ila kama mkopo haujakutimizia malengo uliyokuwa umepanga maumivu huwa makaliKivipi nipo tayari kupokea mshahara wa laki3
Mtu huwa sahihi sana juu yake hususani anapotumia free-willKama ni hivyo basi nikope
Nikushauri kutokana na uzoefu wangu. Wengine tulifanya hayo makosa sasa hivi tunaisoma namba. Usije ukafanya hivyo. Anyway, sijui uko mazingira gani, ila nakushauri angalia fursa ya biashara kwanza. Itategemea hobby zako na fursa zilizo karibu na wewe. Kama wewe unapenda biashara na hapo kuna fursa bora uanzishe biashara ambayo walau kila mwezi utakuwa unapata faida inayokuwezesha kujikimu nje ya mshahara. Biashara ikichangamka ndo biashara ije ikujengee nyumba. Kama wewe una hobby na mambo ya shamba au kufuga unaweza kupata shamba hata ekari moja jirani na hapo bora ukope hela kidogo tu ambayo itatosha kununua hiyo eka moja au mbili, Piga fence, inua hata chumba kimoja cha kibabe, pembeni yako jenga hata mabanda ya kuku fuga kisasa baada ya mwaka mmoja au miwili nakuambia utashangaa unapata hela ya kujenga nyumba kubwa kutokea kwenye hizo biasharaShikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.
Acha kulipa riba ni haramu na imekatazwa kwenye biblia na Qur'aan.Shikamoni wakubwa zangu.
Mimi ni mtumishi serikalini, mshahara 600K. Nataka nijilipue, nikope benki Tsh. Milioni 15. Zipi faida na hasara zake? Na vipi kuhusu makato yao? Nimepanga nichukue wa miaka 5.
Karibuni.