Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
nimekuelewa ndugu. amani iwe nawesijamhukumu....nimemtuhumu....hivyo ni vitu viwili tofauti....kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuelewa ndugu. amani iwe nawesijamhukumu....nimemtuhumu....hivyo ni vitu viwili tofauti....kabisa
kwanini nione kiuwazi kabisa mtu anawalead wenzie kwenye tatizo nikae kimya......kumbuka sijamshawishi mtu aend dini gani ila nimesema hayo ni mafundisho na matendo yanayomfata shetani....tahadhari kwa mwislamu na mkristo...mleta mada mi nakushauri tu kuliko kuonesha shuki au hasira wewe uwe una anzisha threads uwafundishe wana jf juu ya Mungu wa kweli unayemwamini.
wewe kitu kama hukiamini achana nacho unafuatilia cha nini? wengine wanafuatilia tu for fun( sawa na kuona horror movies)
kwanini nione kiuwazi kabisa mtu anawalead wenzie kwenye tatizo nikae kimya......kumbuka sijamshawishi mtu aend dini gani ila nimesema hayo ni mafundisho na matendo yanayomfata shetani....tahadhari kwa mwislamu na mkristo...
Nianze kwa suala lako kuwa nipo team moja na Mshana Jr. Wewe huwaelewi watanzania wenzako? Je umesahau sisi ni wale watu ukiwaambia usiguse ndo tunagusa tujue kwa nini umetukataza kugusa? Na huoni post yako ilivyowasogeza hadhira kwa fanani wao?mwaka 1999 nilisoma kitabu kinaitwa Yoga na Mkristu...nilishangaa mno...nilikinunua bookshop ya kanisa katoliki pale Moshi mjini...nilijiuliza maswali mengi mno...hv kitu hichi inaweza kuunganika na hichi? yaani mafuta yachanganyike na maji...no way....niligoma nikaenda hadi kwa paroko.....karibia nihame ukatoliki...bahati nzuri...tulikubaliana kile kitabu ni upotoshaji na kikaondolewa pale library....MUNGU....hachanganyiki na uovu...na yoga...na meditation...na budhism...na mambo yote ya tripitaka ni evil cult....hayo ndio maamuzi niliyoyafanya
kwa signature yako na unayoyaandika...nachelea kusema........unajiingiza kwenye kitu kilichokuzidi umri...na akili...maaana hufatilii unavyoamini...ila unatamani maarifa mapya kutoka kwa binadamu....na unaacha maarifa ya Muumba wako...
mwaka 1999 nilisoma kitabu kinaitwa Yoga na Mkristu...nilishangaa mno...nilikinunua bookshop ya kanisa katoliki pale Moshi mjini...nilijiuliza maswali mengi mno...hv kitu hichi inaweza kuunganika na hichi? yaani mafuta yachanganyike na maji...no way....niligoma nikaenda hadi kwa paroko.....karibia nihame ukatoliki...bahati nzuri...tulikubaliana kile kitabu ni upotoshaji na kikaondolewa pale library....MUNGU....hachanganyiki na uovu...na yoga...na meditation...na budhism...na mambo yote ya tripitaka ni evil cult....hayo ndio maamuzi niliyoyafanya
maishapopote kwanza nikupongeze sana kwa kutoa dukuduku lako ikiwa ni mtazamo wako kwangu kuhusiana na mada zangu
Najua ni una mengi zaidi ya kuandika kunihusu mimi na mada zangu na mambo yote yanayohusiana nazo...nitapenda kuwa bega kwa bega nawe Katika kueleweshana na kujuzana kwa uwazi na kwa mifano stahili huku tukitumia nukuu na lugha za kistaarabu
Naomba ushirika wako wa Karibu Katika hili kwa manufaa ya jukwaa
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Haya mambo yalikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia kwakuwa navyo ni sehemu ya uumbaji wa Mwenyezi Mungu, hatuna jinsi ya kuviepuka na vitakuwepo mpaka mwisho wa dahari...
Zima dataAkitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Zima data