Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

hongera sana,
uache uvuvi na ulevi sasa.

kwani anaondoka lini huyo aliekusaidia kwakukucounsel πŸ’
 
Sawa uache haya majani Sasa!
 
Kakuuma Sikio kuwa anakaribia Kufa au?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe jamaa ni mkorofi sana kwaiyo unataka kunambia kuna uhusaiano wa konyagi na mambo ya kiroho?? AU kwakuwa Mshana Jr hawezi kukosa neno kwenye suala la kiroho!?
Hahahahah.. Nilianza kunywa wakati Plisner inauzwa Tsh 30 na Safari Tsh 40
Wakati huo plisner ilikuwa inatengenezwa Bongo na walikuwa wanasema inanuka Kunguni yaani ni chafuπŸ˜€ na Safari ilikuwa inatengenezwa Kenya.. Kunywa safari miaka hiyo ni sawa na kunywa Heineken wa leo
 
DuhπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…