Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapiga alcohol huwa wana sana..๐๐พ๐๐พ๐๐พ ili nipate nini sasa wakati najimiduView attachment 3143479
๐๐๐๐Unamaanisha mshana ni kitengo
Kwanini Wanywa konyagi huwa wanalaza Chupa Chini?๐๐พ๐๐พ๐๐พ ili nipate nini sasa wakati najimiduView attachment 3143479
hongera sana,Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Aliyegundua mixer ya konyagi kischana ana nafasi yake mbinguni๐๐Wapiga alcohol huwa wana sana..
Ina mgongo wa kulaza wala hakuna maana nyingine yoyoteKwanini Wanywa konyagi huwa wanalaza Chupa Chini?
Je Mr Mshana kuna maana yoyote kiroho?
So mlevi hajui hata ladha ya pombehongera sana,
uache uvuvi na ulevi sasa.
kwani anaondoka lini huyo aliekusaidia kwakukucounsel ๐
Naamini tunaheshimiana sana.. Sidhani kama hiki ulichoandika hapa ni sawaMshana Jr a.k.a Jemima Mrembo nakubali mkuu
kwahiyo kumbe alikua kijana mvivu tu bingwa wa maisha, mkaidi jeuri anaejiuliza na kujijibu mwenyewe, right?๐So mlevi hajui hata ladha ya pombe
Sawa uache haya majani Sasa!Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Kakuuma Sikio kuwa anakaribia Kufa au?Habari wakuu!

Hahahahah.. Nilianza kunywa wakati Plisner inauzwa Tsh 30 na Safari Tsh 40๐๐ wewe jamaa ni mkorofi sana kwaiyo unataka kunambia kuna uhusaiano wa konyagi na mambo ya kiroho?? AU kwakuwa Mshana Jr hawezi kukosa neno kwenye suala la kiroho!?
Natamani ungejua aliyopitia..kwahiyo kumbe alikua kijana mvivu tu bingwa wa maisha, mkaidi jeuri anaejiuliza na kujijibu mwenyewe, right?๐
๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐ช๐ฟHongera Mshana Jr kwa kumpa tumaini jipya Mtupori_Tz
Duh๐Hahahahah.. Nilianza kunywa wakati Plisner inauzwa Tsh 30 na Safari Tsh 40
Wakati huo plisner ilikuwa inatengenezwa Bongo na walikuwa wanasema inanuka Kunguni yaani ni chafu๐ na Safari ilikuwa inatengenezwa Kenya.. Kunywa safari miaka hiyo ni sawa na kunywa Heineken wa leo
Tatizo lake pekee ni ufuasi wake kwa chadema, huko anageuka kuwa muongo na mwenye upendeleo na asiyesikia......anakuwa tayari hata kutumia ujuzi wake wa 'vigango' kumshughulikia anayepingana nae!!Mshana yuko vizuri kwa kweli