Kumbe!ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
My sun is going down to Chiolu π (Chinua Achebe)Duhπ
Jina lako tu mshamba_hachekwi kwenye ulimwengu wa roho Lina maana ambayo ina uhusaiano na mfumo wa akili yako.Kumbe!
Kama isingekuwa ndoto yako ungeenda, ungefurahia?
Una mlengo/muegemeo flani(bias).
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎπͺπΏ
ππΎπͺπΏπͺπΏππΎHongera sana kaka Mshana! Umejipambanua sana kuwa na ueledi kwenye mambo mengi. Naomba na mimi nikutafute siku moja kama mleta mada alivyoshauri
β€β€β€β€Nimefurahi kusikia upo sawa .
Kuhusu Mshana Jr nadhani ameamua kuishi katika Purpose yake zaidi Mshana ni moja ya watu ambao huwa nawatafuta muda wowote bila hata kuzingatia Muda iwe usiku au Au mchana .
Lipo somo kubwa la kujifunza kupitia Maisha yake.
There's a place up there for people like you
I know you're out there
So keep doing what you do
'Cause there's a place up there for people like you"
Ohooooooooo!!!!!Unamaanisha mshana ni kitengo
Mshana Jr , huyu ni legend karuka viunzi vingi sana hapa duniani so hakuna tatizo gumu kwake.Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito