Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

Kumbe!

Kama isingekuwa ndoto yako ungeenda, ungefurahia?

Una mlengo/muegemeo flani(bias).
Jina lako tu mshamba_hachekwi kwenye ulimwengu wa roho Lina maana ambayo ina uhusaiano na mfumo wa akili yako.

Sasa unataka niwe na ndoto ya kuonana na wewe Kwa content ipi?? Mana hapa JF tunamjaji MTU Kwa content mengine baadae

Anyway sikucheki Kwa ushamba wako 😂
 
Nimefurahi kusikia upo sawa .

Kuhusu Mshana Jr nadhani ameamua kuishi katika Purpose yake zaidi Mshana ni moja ya watu ambao huwa nawatafuta muda wowote bila hata kuzingatia Muda iwe usiku au Au mchana .

Lipo somo kubwa la kujifunza kupitia Maisha yake.

There's a place up there for people like you

I know you're out there
So keep doing what you do
'Cause there's a place up there for people like you"
 
Hongera sana kaka Mshana! Umejipambanua sana kuwa na ueledi kwenye mambo mengi. Naomba na mimi nikutafute siku moja kama mleta mada alivyoshauri
🙏🏾💪🏿💪🏿🙏🏾
Nimefurahi kusikia upo sawa .

Kuhusu Mshana Jr nadhani ameamua kuishi katika Purpose yake zaidi Mshana ni moja ya watu ambao huwa nawatafuta muda wowote bila hata kuzingatia Muda iwe usiku au Au mchana .

Lipo somo kubwa la kujifunza kupitia Maisha yake.

There's a place up there for people like you

I know you're out there
So keep doing what you do
'Cause there's a place up there for people like you"
❤❤❤❤
 
Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito
Mshana Jr , huyu ni legend karuka viunzi vingi sana hapa duniani so hakuna tatizo gumu kwake.

Grahams , huyu kwenye masuala ya ndoa anafaa sana coz ana utulivu ,hekima,busara,maarifa, uzoefu na ujuzi kwenye hii sekta!

Pascal Mayalla , huyu kwenye uandishi atakupa uzoefu ingawaje pia kwenye mambo ya kijamii yupo vizuri pia.

Bantu Lady , anapenda sana kusaidia watu na ana moyo wa upendo na ni msiri pia.
 
Back
Top Bottom