Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ingawa sina tamaa,Natamani ungejua aliyopitia..
ningefurahi zaidi liwe somo huru na la wazi kwa vijana na wadau wote wa JF ingependeza zaidi gentleman

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingawa sina tamaa,Natamani ungejua aliyopitia..

Waseng*#* kila uzi mpo tu mnataka kupakatwa?Vitengo wana mbinu nyingi
Tumia id hii anayojipigia promo utampataLeo nilikua nataka nimfuate DM lkn naona kafunga
How are you classmate. Happy to see you again. Alhamdulillah, I pray to God to easing your situation and become more healthyThis is very positive feedback mazee....
Mshana Jr pokea 🌹🥀 yako
Umekalia kigogo?Waseng*#* kila uzi mpo tu mnataka kupakatwa?
DduuhWaseng*#* kila uzi mpo tu mnataka kupakatwa?
Shukrani sana Mkuu.
Your prayers mean a lot to me classmate....🙏How are you classmate. Happy to see you again. Alhamdulillah, I pray to God to easing your situation and become more healthy
sikomiGusa kote lakini kwa Malaika wangu Angel Nylon koma😂
Naona Mkuu upo na kinywaji yako pendwa 😃😃😃🙏🏾🙏🏾🙏🏾 ili nipate nini sasa wakati najimiduView attachment 3143479
Bora wewe umepata ujasiri wa kukomenti. Mimi nimeogopa.Ohooooooooo!!!!!
Naona Mshana Jr umakuja na ID nyingine kujipigia promo!Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Unateseka ukiwa wapi Mkuu ?Chawa kila mahali aisee.