Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

HahaahaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nazjaz tena! Usinichonganishe bwashee Mimi nimefika Kigoma mwisho wao reli kwa yule very very special oneβ€β€β€β€πŸ’—πŸ’“πŸ’• angel nylon

Dah Masanja 🀝🏿
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
 
Hakika Wakuu !
Legend Mshana Jr ni mtu poa sana, hajivungi wala haringi kupokea simu anytime ukimpigia na anapokea kwa unyenyekevu kabisa.

Ni mtu mwenye roho nzuri na anayeweza kukusaidia kupata ufumbuzi wa changamoto zako, haringi wala hajivuni kabisa. Hata kama yupo busy namna gani atakupokelea simu yako tu na kukutaka radhi na atakuambia nicheki muda fulani.

Siwezi kuelezea mengi lakini ndugu Mshana Jr ni mtu muhimu sana na ni mwelevu wa vitu vingi sana.
 
Ni kweli yupo vizuri sana alishanisaidia jambo fulani, sema siku hizi kafunga DM yake kuna kipindi nilimtafuta sana nikakwama japo alinipa hadi no yake ya simu
 
Naona Mshana Jr umakuja na ID nyingine kujipigia promo!

KAMA SIO BIKRA USIOE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…