Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mkuu siku uliiongea sikukuelewa lakini sasa hivi ndio nimekuelewa. Pole sana aisee ndio ilivyo nature.Wakati wa jiwe hali ilikuwa mbaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siku uliiongea sikukuelewa lakini sasa hivi ndio nimekuelewa. Pole sana aisee ndio ilivyo nature.Wakati wa jiwe hali ilikuwa mbaya sana.
Heshima gani wewee unajimwambafai tuNaamini tunaheshimiana sana.. Sidhani kama hiki ulichoandika hapa ni sawa
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Kiranga koma 🤣🤣🤣sikomi
Duhhh!Wee,sema kweli?
Ngoja nami nimfuate ghetto...hii depression itaniua wakuu🤔
Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Atoto duyusiii?Wee,sema kweli?
Ngoja nami nimfuate ghetto...hii depression itaniua wakuu🤔
kaka unautumbo wa mamba kweli au unajitesa na Mzinga?🙏🏾🙏🏾🙏🏾 ili nipate nini sasa wakati najimiduView attachment 3143479
Ee bhana,maisha si magumu kiasi hicho mkuu🤣🤣🤒Duhhh!
Aiwanti ha tusiii zisi bihevia ofu yua dipresheni.Duyuwantiher2seewatbro? 🤣🤦
Olowezmadipleshenisabautimanebroendigetois4diskashenAiwanti ha tusiii zisi bihevia ofu yua dipresheni.
Padonii! Wu duyu koli bro?Olowezmadipleshenisabautimanebroendigetois4diskashen
mambo mremboKiranga koma 🤣🤣🤣
Mwaka 2020 nilipitia hali ngumu sana kiuchumi hali iliyonilazimu kuondoka nyumbani.Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz
Wee haya..😂sikomi
😂😂😂😂Naona Mkuu upo na kinywaji yako pendwa 😃😃😃