Mshana Jr, havumi lakini yumo

Napokea kwa unyenyekevu mkuu Pendaelli [emoji1545]
 
Mshana Jr amefanyika kuwa baraka kwa wengi
 
Hahahahaaa[emoji23]
Heshima yako brother. Mwaka huu kama watatoa ile tuzo ya hadhi kama aliyopewa mzee Mohammed Said mwaka jana basi napendekeza iende kwako. Nadhani Mh. Max amesikia. Wale washindi wa stories of change tu wakitangazwa wakutunuku hiyo heshima. Unastahili na zaidi 🙏🏿
 
Dah kaka mkubwa thanks kwa hili.. [emoji1752][emoji1545].. Lakini hata akipata mwingine ni furaha yetu sote kwakuwa sisi tu familia moja
 
Huyu kaka kajaaliwa kujua almost mambo mengi sana. Kila jukwaa hapa JF ana mchango wake mkubwa tu.

Be blessed kaka Mshana Jr
Well said!
Huyu mwamba ana mchango mkubwa sana kwenye hii forum kuwa kama ilivyo. Kama kulivyo na nyara za taifa, basi huyu ni nyara ya JF.
Ni kwa vile binadamu hana thamani akiwepo.

Ninashauri Uongozi wa JF uone namna ya kuwaenzi officially watu wa aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…