Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

Mshana,Je katika harakati zako za mafunzo ya ulimwengu wa giza na kufungua jicho la tatu,Jina lako,Ubini wako,Historia ya ukoo wako pamajo na historia ya maisha yako ya nyuma vilikua ni kikwazo au vilikusaidia kuyaelewa haya mambo vyema?
 
Ukoo wangu ni washika dini pande zote mbili waislam na wakristo, wenye imani thabiti Kwa Mungu mmoja... Kwahiyo nilisoma kwa siri sana bila yeyote kujua
 
Ukoo wangu ni washika dini pande zote mbili waislam na wakristo, wenye imani thabiti Kwa Mungu mmoja... Kwahiyo nilisoma kwa siri sana bila yeyote kujua
Kama ndio ivo katika mafunzo kulikua hakuna hali ya kukizana cz ni kama ulikua umebeba roho mbili zenye ukinzani?
 
Swali langu kwa Mr mshana ni utafsiri wa ndoto niliyoota usiku wa kuamkia juzi, iko ivi nimekaa sehemu na rafiki wawili wa kike, mmoja ameshukiwa na upako wa kuombea watu lkn nikawa naonyeshwa kwamba uombeaji wake si wa kimungu coz alikuwa anaombea kwa kutumia hesabu za kujumlisha, lkn wengine hawaoni na nikaonyeshwa kwamba amekuwa tajiri, sasa muda mfupi nipo najiuliza niwe mfuasi wake au niachane nae ghafla akatokea km mtu akanambia ninfate anionyeshe njia nikamfata kweli nikaiona njia ya miguu, Mara paaa akapotea lkn wakati anapotea nikagundua hakuwa mtu ila ni kivuli cha mtu wa kiume, nikashtuka usingizini hii ndoto ina maana gani Mshana
 
Back
Top Bottom