Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sijawahi ila nimeshawahi kushuhudia watu wakipaaUliwahi paa kwa ungo ktk practice zako!?
Je mchawi au mganga aweza kuiba pesa nyumbani kwa mtu ama benki?
Kwa kiwango fulaniUna utalamu wowote wa ndoto?
Unitag[emoji122] [emoji122] [emoji122] mi maswali yangu nitauliza usiku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Ukoo wangu ni washika dini pande zote mbili waislam na wakristo, wenye imani thabiti Kwa Mungu mmoja... Kwahiyo nilisoma kwa siri sana bila yeyote kujuaMshana,Je katika harakati zako za mafunzo ya ulimwengu wa giza na kufungua jicho la tatu,Jina lako,Ubini wako,Historia ya ukoo wako pamajo na historia ya maisha yako ya nyuma vilikua ni kikwazo au vilikusaidia kuyaelewa haya mambo vyema?
Hakuna mti bali mchanganyiko wa madawaKwa vipi Na mti gani nikichanganyachanganya naweza kumroga mwanamke aniwaze mm tu 24 hours!?
Kama ndio ivo katika mafunzo kulikua hakuna hali ya kukizana cz ni kama ulikua umebeba roho mbili zenye ukinzani?Ukoo wangu ni washika dini pande zote mbili waislam na wakristo, wenye imani thabiti Kwa Mungu mmoja... Kwahiyo nilisoma kwa siri sana bila yeyote kujua
Nilindoka upande mmoja na kubaki huko ili niweze kujiachiaKama ndio ivo katika mafunzo kulikua hakuna hali ya kukizana cz ni kama ulikua umebeba roho mbili zenye ukinzani?
Nitafurahi kukiwa na maswali tofautiJamani hivi hakuna maswali yoyote mengine zaidi ya uchawi????
... mshana jrMtu akifa anaumia?
Kabla ya kuondoka ulikua ktk khali gani? Na je usharudi upande wako wa awali?Nilindoka upande mmoja na kubaki huko ili niweze kujiachia