luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Mtaje unayeona anafaaMimi hapana sijui kwenu nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaje unayeona anafaaMimi hapana sijui kwenu nyie
Mungu Pekee ndio anafaaMtaje unayeona anafaa
Wewe[emoji41]Mungu Pekee ndio anafaa
Kaskazini,mlutheri.Kwani Mshana Jr ni wa kanda (na dini) gani?
Abarikiwe Mshana JrSalaam wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi naamini Mshana Jr ndiye member bora wa jf wa muda wote kama alivyo pele kwenye kandanda na muhammad ali kwenye masumbwi.
Huyu mwamba hana dharau wala kejeli hata kama utakuwa na mtazamo tofauti katika mada fulani au jambo fulani hutomuana akikukashifu au kukutukana kama member wengine inaonekana ni mtu mwenye busara sana.
Jinsi avowasilisha mada uchambuzi uliotulia mfano ule ushauri wake kwa SHABAN KAONEKA NA UCHAMBUZI WAKE KUHUSU ROSE MUHANDO NK INAONESHA NI MTU MWENYE AKILI SANA.
Japo watu wanasema huwa anakopi kwa watu ila sijajua huu ushauri kwa kaoneka amekopi kwa nani nadhani ni wivu tu wa Kitanzania.
MSHANA JR ULIEJAA BUSARA, HEKIMA NA AKILI NYINGI MIMI BINFSI NAAMINI WEWE NDIYE GOAT WA JF.
MWENYEZIMUNGU AKUBARIKI NA AKUPE MAISHA MAREFU ILI TUPATE MAARIFA ALIYOKUPATIA.
MWENYEZIMUNGU ATUBIRIKI WANA JF WOTE.
UZI TAYARI.
Imebidi tu nicheke [emoji23]Mbuzi mshana
Nipo hapa nasoma comments[emoji1545]Ngoja Mshana aje.
Sina cha kusema nilijukuta namkubali sana.Salaam wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi naamini Mshana Jr ndiye member bora wa jf wa muda wote kama alivyo pele kwenye kandanda na muhammad ali kwenye masumbwi.
Huyu mwamba hana dharau wala kejeli hata kama utakuwa na mtazamo tofauti katika mada fulani au jambo fulani hutomuana akikukashifu au kukutukana kama member wengine inaonekana ni mtu mwenye busara sana.
Jinsi avowasilisha mada uchambuzi uliotulia mfano ule ushauri wake kwa SHABAN KAONEKA NA UCHAMBUZI WAKE KUHUSU ROSE MUHANDO NK INAONESHA NI MTU MWENYE AKILI SANA.
Japo watu wanasema huwa anakopi kwa watu ila sijajua huu ushauri kwa kaoneka amekopi kwa nani nadhani ni wivu tu wa Kitanzania.
MSHANA JR ULIEJAA BUSARA, HEKIMA NA AKILI NYINGI MIMI BINFSI NAAMINI WEWE NDIYE GOAT WA JF.
MWENYEZIMUNGU AKUBARIKI NA AKUPE MAISHA MAREFU ILI TUPATE MAARIFA ALIYOKUPATIA.
MWENYEZIMUNGU ATUBIRIKI WANA JF WOTE.
UZI TAYARI.
Asante sana kwa compliment Mpangumbe napokea kwa shukrani na unyenyekevu mkuu[emoji1545]Salaam wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi naamini Mshana Jr ndiye member bora wa jf wa muda wote kama alivyo pele kwenye kandanda na muhammad ali kwenye masumbwi.
Huyu mwamba hana dharau wala kejeli hata kama utakuwa na mtazamo tofauti katika mada fulani au jambo fulani hutomuana akikukashifu au kukutukana kama member wengine inaonekana ni mtu mwenye busara sana.
Jinsi avowasilisha mada uchambuzi uliotulia mfano ule ushauri wake kwa SHABAN KAONEKA NA UCHAMBUZI WAKE KUHUSU ROSE MUHANDO NK INAONESHA NI MTU MWENYE AKILI SANA.
Japo watu wanasema huwa anakopi kwa watu ila sijajua huu ushauri kwa kaoneka amekopi kwa nani nadhani ni wivu tu wa Kitanzania.
MSHANA JR ULIEJAA BUSARA, HEKIMA NA AKILI NYINGI MIMI BINFSI NAAMINI WEWE NDIYE GOAT WA JF.
MWENYEZIMUNGU AKUBARIKI NA AKUPE MAISHA MAREFU ILI TUPATE MAARIFA ALIYOKUPATIA.
MWENYEZIMUNGU ATUBIRIKI WANA JF WOTE.
UZI TAYARI.
Yaani wanaume wengine wamekuwa kama mademu siku hizi. Hivi kama mtu anasifiwa kwa mazuri anayofanya kuja kumchafua unapata faida gani hizi ni tabia za kike.[emoji23]Yaani wanaume wengine wamekuwa kama mademu siku hizi. Hivi kama mtu anasifiwa kwa mazuri anayofanya kuja kumchafua unapata faida gani hizi ni tabia za kike.
Naonaga hata huyu dogo GENTA watu wakimsema sasa hata ukimsema unafaidika nini. Kama mada zake hauzikubali unauchuna tu unapita hivi, hiyo imekaa KIUME zaidi
Members wote humu iwe ni maarufu na wasio maarufu wana umuhimu wake. Uwepo wao na uchangiaji wao ndio unafanya JF isonge
Tujifunzeni kuwa dis-minder wanetu
Thanks wao ni wao [emoji1545]Sina cha kusema nilijukuta namkubali sana.