Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Kupenda ni haki yako!

Lakini ishi kwa akili

Usipende ukaanza kujenga Vita na watu wanaokuzunguka

How comes unasimama mbele ya Jamii hii na kupiga mbiu kuwa kwenye Jamii hii mmoja ni Bora zaidi ya wote!

Umetumia utafiti gani?

Unayo haki ya kusema huyo jamaa yako unampenda Ni handsome!

Ila huna haki ya kusema ni handsome zaidi ya wote kwenye Jamii hii!
Hilo Ni shambulio dhidi ya sura za wanaume kwenye Jamii hii!

Ingia PM msifie mkiwa wawili!
Weka appointment mukutane lodge umwagie hizo sifa mkiwa faragha

Ila usisimame hadharani hapa then unaanza kuziparua sura zetu kwa manufaa yenu!

Stupid

Niko serious na kauli yangu, na sitaki kauli za ooh, Ni masihara tu ya kuchangamsha jukwaa

Mara ooh, don't take everything serious in life

Kisaikolojia kila mtu anahitaji kuona hadhi yake inalindwa, really I'm telling you!

Nimekumaindi Sana ewe mwanamke usie na busara!



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati anakuwaga Mganga huyo jamaa na waganga wa siku hizi masharti Yao si unayajua
 
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…