Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Nilikutana naye ana kwa ana maeneo ya Sinza. Pia ana akili nyingi, kajaa hekima, mkarimu na mwenye utu.
 
Mtu anashinda kilingeni kuongoza mvuto atashindwa vp kuwa na mvuto
 
Sema huwa haiombwi hivyo
 
Kweli hajakuonyesha tu makucha yake anaroho mbaya hana msaada anaangalia wakumpa sasa huyo sio handsome , handsome au gentlemen ni mtu wawatu sio wa wewe tu , kuwa handsome na tajiri tunajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…