Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Iyo avatar yako kama sha wahi kuiona kule telegram kwenye magroup pendwa
 
Ehh
Ramadhan Kareem.

Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
!!
 
 
Back
Top Bottom