The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Tanzania wachawi wameyeyusha sukari inapatikana Gamboshi peke yake
Baadhi ya sehemu si haba huku inauzwa 2900/= bei elekeziTanzania sukari imepotea inapatikana sehemu moja tuuu chatoo empire,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Mswisi asilia hata mmoja kwenye hiyo foleni, Mswisi hawezi kupanga foleni ya chakula cha bure leo hii, itachukuwa miaka 20-50 mfululizo ya ,,lockdown” Mswisi kufikia hali hiyo, na Mswisi akifikia hapo ujue Duniani kwingine watakuwa wameanza kula watu, ...
Acha kudanganya watu mkuu, kuna kipindi pesa inakosa thamani kwa sababu vitu vinakua hazipatikani hiyo hata China ilitokea supermarket watu walikuwa wanapanga mstari wanauziwa vitu kwa kugawana. Mchele ulikua sawa na almasi ulipotea kabisaHakuna Mswisi asilia hata mmoja kwenye hiyo foleni, Mswisi hawezi kupanga foleni ya chakula cha bure leo hii, itachukuwa miaka 20-50 mfululizo ya ,,lockdown” Mswisi kufikia hali hiyo, na Mswisi akifikia hapo ujue Duniani kwingine watakuwa wameanza kula watu, ...
Acha uongo mkuu,Poor ni relative term, kwa maana ya kwamba mtu anayeitwa ,,poor” Uswisi pesa anayolipwa kwa mwezi na Serikali kwa TZ yetu ni upper middle class, isitoshe, wana vigezo tofauti kabisa na vyetu vya kupima umaskini, na hao wanaoitwa masikini > 85% siyo Waswisi asilia ni wageni/wahamiaji kutoka third World na Ulaya ya Mashariki, ...
Hao ni waarabu na wa l'Europe de l'est. Hakuna mswiss OG hapo.
Besti hata kama ni hivyo mbona kabla ya korona hawakuwa wanapanga mstari hivyoHao ni waarabu na wa l'Europe de l'est. Hakuna mswiss OG hapo.