impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Hapa umetumia akili vyema big upHakuna Mswisi asilia hata mmoja kwenye hiyo foleni, Mswisi hawezi kupanga foleni ya chakula cha bure leo hii, itachukuwa miaka 20-50 mfululizo ya ,,lockdown” Mswisi kufikia hali hiyo, na Mswisi akifikia hapo ujue Duniani kwingine watakuwa wameanza kula watu, ...
Hata INZI akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali
Sent using Jamii Forums mobile app