MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

Uswisi wana social system inayotoa hela ndefu kwa wananchi wake wasio na ajira, na inatosha kununua chakula na mahitaji mengine ya lazima, hivyo Mswisi hahitaji chakula cha bure, ...
Hiyo hela huwa haitoshi, US pamoja na welfare, kuna unemployement 600$/week, na kila familia imepewa 1200$ during lockdown.
Bado watu wanachukua chakula cha bure kutoka salvtion army, food bank etc...
Ningekuelewa ungeniambia kuwa hawana culture ya kuchukua vitu vya bure kama US. US kama kuna kitu cha bure, watapanga foleni na hela watanunua nguo au big screen TVs or other gadgets just because there's free food.
Mabasi ya shule pia yanatoa vyakula vya moto kwa watoto wa shule kwenye bus routes na bado watu wanachukua. Niambie siyo desturi lakini siyo kwa sababu eti wanakatiwa mkwanja mkubwa.
 
Lock down inaokoa maisha kivipi?
Kupanga kupata chakula cha bure siyo tatizo. Hapa ni suala la kuchagua - kuokoa maisha ya watu ama uchumi. Hakuna mtu anayesema lockdown haina madhara. Ni issue ya kuchagua kati ya mali na maisha ndio inayoongolewa. Wengine wamechagua kuokoa maisha na kuacha uchumi ubomoke. Rais wa Ghana alisema, uchumi hujengwa lakini maisha yakiondoka, ndio basi, hayarudi. Mahiga na Rwakatare ndio wameondoka hivyo. Hatutawaona tena. Waswisi ama Wamarekani ama Waingereza kupata chakula cha bure haku-justify hata kidogo kile kinachofanyika Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzuka wanajamvi

Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. View attachment 1446109

Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi.
View attachment 1446109View attachment 1446113
Kwa sasa hivi Uswizi imethibitisha watu 30, 305 wana maambukizi ya korona na vifo ni 1800.View attachment 1446121

Uswizi ni nchi inayoongoza kwa maisha bora na malipo mazuri ulaya na duniani hata kwa wabeba boksi.
View attachment 1446118

Hata kwenye kati ya jiji Tajiri duniani Geneva hali ya uchumi imedorora na imeleta hali ngumu ya kiuchumi kwa watu waliokuwa wanafanya kazi kwenye housekeeping, hoteli, migahawa, kilimo na ujenzi
Na bado,the worst is yet to come.Si wamekubali upuuzi wa NWO.

Tatizo la Wazungu ni kwamba ufahamu wao ni ndogo sana.So much has been going on behind their backs bila wao kujua,and finally it has come to this.Narudia tena kusema,they are at a dead end,hawana kufanya,kwa hiyo wakubali tu utumwa wa NWO and total domination.
 
Wachina wametuletea balaa kubwa sana duniani na wala haijulikani litaisha lini na baadhi ya Wataalamu wanadai corona itakuwepo hadi 2022, balaa kubwa sana.

Mie nadhani wameifanya iwe more deadly kwenye lab kule Wuhan. Watu wa hovyo sana hawa watu.

Dah BAK welcome back. Tulidhani Jiwe alikuficha akiandaa kukubambikizia kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha prsa.

Jiwe halina aibu na adabu
 
Hiyo hela huwa haitoshi, US pamoja na welfare, kuna unemployement 600$/week, na kila familia imepewa 1200$ during lockdown.
Bado watu wanachukua chakula cha bure kutoka salvtion army, food bank etc...
Ningekuelewa ungeniambia kuwa hawana culture ya kuchukua vitu vya bure kama US. US kama kuna kitu cha bure, watapanga foleni na hela watanunua nguo au big screen TVs or other gadgets just because there's free food.
Mabasi ya shule pia yanatoa vyakula vya moto kwa watoto wa shule kwenye bus routes na bado watu wanachukua. Niambie siyo desturi lakini siyo kwa sababu eti wanakatiwa mkwanja mkubwa.
Swiss kuna maisha mazuri kuliko U.S I been in both countries I know what am talkin about
 
Na bado,the worst is yet to come.Si wamekubali upuuzi wa NWO.

Tatizo la Wazungu ni kwamba ufahamu wao ni ndogo sana.So much has been going on behind their backs bila wao kujua,and finally it has come to this.Narudia tena kusema,they are at a dead end,hawana kufanya,kwa hiyo wakubali tu utumwa wa NWO and total domination.
Bro kwani wewe hii NWO inakuuma nini??, Duniani si tunapita tu?, Au?.. akuzidie akili atakutawala tu, na kama huna uwezo kausha miaka yako ipite uondoke usahaulike wengine wabaki kuendeleza ligi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanafiki fulani tumepakana nao, wao ni weusi walalahoi wanajifanya kuwaiga wazungu lock down.....sasa hii kitu ikiendelea mwaka mzima watafanyaje? je ! uwezo wa kuwalisha watu wao wote wanao? hizi mbwembwe wanazozifanya sasa za kuzuia madereva wetu watakuja kupiga magoti mbele yetu.....muda utaamua
 
Ina niuma frankly nikiona mwanadamu mwenzangu kwa ujinga akiteseka.Kama wangekuwa watafiti wangeweza kujua mapema kwamba mambo hayako sawa wakachukua hatau mapema.It's too late.Ila hata sisi hatuko salama,we in the same boat.
 
Kweeli kabisa, unataka kusema haya mambo ya NWO wazungu hawayajui kweli!!???, Wazungu hawa hawa wa ulaya na makubwa yoote na mautafiti yoote na wasomi woote wasilijue hili??,, Na wewe hizi taarifa umezitoa wapi kama sio kwenye mavitabu yao na tovuti zao??,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanafiki fulani tumepakana nao, wao ni weusi walalahoi wanajifanya kuwaiga wazungu lock down.....sasa hii kitu ikiendelea mwaka mzima watafanyaje? je ! uwezo wa kuwalisha watu wao wote wanao? hizi mbwembwe wanazozifanya sasa za kuzuia madereva wetu watakuja kupiga magoti mbele yetu.....muda utaamua
Mbinu Kenya wanazotumia kupambana na C-19 ni za kijinga na hatarishi sana kwa watu wao.Marekani imethibitishwa kwamba hao hao waliofungiwa ndani 66% wanapata C-19.After all tunajuaje kwamba ugonjwa wa C-19 hautakuwa endemic kama HIV-Aids.

Magonjwa yapo,kuugua kupo na kufa kupo,hakuna la ajabu.Hakuna ugonjwa usio ua,kwa hiyo kufungia watu ndani eti wasife ni ujinga,kwani kuna atakayeishi milele!Mbona hatujifungii ndani ili tusipate Malaria?Kufungia watu ndani ili eti wasipate C-19 ni simply stupid.Nchi zilizo kuwa na complete lockdowns zenyewe zimeona ni ujinga kufungia watu ndani kwa kuwa wanaharibu uchumi wao,sasa wameanza ku-ease lockdowns ili wasizidi kuharibu uchumi.Germany wamekwenda mbali zaidi,wamefungua mipaka.Kenyans need to work up,otherwise kama unavyosema watakuja kutupigia magoti.Copying and pasting is very dangerous.Sidhani kama ni busara kufungia watu ndani kwa ugonjwa ambao mpaka sasa umeua only 0.000004 of the world populatin in 5 months na hatujali kabisa ugonjwa ambao umeua 0.008 worldwide mwaka 2016,almost 2000 times.Ni unafiki wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom