avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
mbaya zaidi kuna dharau wanawaonyesha wabongo!!! ukienda mpakani wanaku treat kana kwamba tuna makorona yananinginia mpaka kwenye mashati, na wanadhani kila mbongo ana korona , watakusumbua!!! watakupima kwa mavipimo yao ya kichina.....na wakimpata hata kama ni wa kwao watasingizia ni mbongo lengo ni kutuchafua.....wangejua huku tupo poa tunaendelea na maisha ya kawaida na hatuna FOBIA ya kijinga ya hofu ya kitu kisichoonekana ama hatari ambayo unaweza kukabiliana nayo wangetuheshimu. Tuwasubiri hao wali wanaotawa ndani sijui watatoka lini na WHO imesema hili goma linaweza kudumu kama HIVMbinu Kenya wanazotumia kupambana na C-19 ni za kijinga na hatarishi.Marekani imethibitishwa kwamba hao hao waliofungiwa ndani 66% wanapata C-19.After all tunajuaje kwamba hautakuwa endemic kama HIV-Aids.Magonjwa yapo,kuugua kupo na kufa kupo,hakuna la ajabu.Hakuna ugonjwa usio ua,kwa hiyo kufungia watu ndani eti wasife ni ujinga,kwani kuna atakayeishi milele!Mbona hatujifungii ndani ili tusipate Malaria?Kufungia watu ndani ili eti wasipate C-19 ni simply stupid.