MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

mbaya zaidi kuna dharau wanawaonyesha wabongo!!! ukienda mpakani wanaku treat kana kwamba tuna makorona yananinginia mpaka kwenye mashati, na wanadhani kila mbongo ana korona , watakusumbua!!! watakupima kwa mavipimo yao ya kichina.....na wakimpata hata kama ni wa kwao watasingizia ni mbongo lengo ni kutuchafua.....wangejua huku tupo poa tunaendelea na maisha ya kawaida na hatuna FOBIA ya kijinga ya hofu ya kitu kisichoonekana ama hatari ambayo unaweza kukabiliana nayo wangetuheshimu. Tuwasubiri hao wali wanaotawa ndani sijui watatoka lini na WHO imesema hili goma linaweza kudumu kama HIV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…