Mambo yetu kivyetu vyetu😀Africa tajiri lazima unenepe uwe na mtumbo mkubwa pamoja na mashavu yaliyovimbiana, wenyewe wanasema shavu dodo😁
na waafrica wanasema ukionekana umenenepa Nona vizuri kitambi mbele utapewa madili unaonekana huna njaa njaa😀Africa tajiri lazima unenepe uwe na mtumbo mkubwa pamoja na mashavu yaliyovimbiana, wenyewe wanasema shavu dodo😁
Mademu slay queens... ndo wanajikutaga akina nani sijui vile kula na ku order misosi pale.. wakipewa na kiboksi.. dah
Acheni majungu.Slay queens na mabraza duu wa Africa wanakwambia you cant instragamize cassava on socials
Africa Kusini kuna masikini wengi choka mbayaWazungu wakishaandika viingereza vyao tunawaamini mbaya KFC package ya lishe yao mbona ipo juu maskini gani wa Kiafrika atanunua lishe ya mlo mmoja rand 300 kwa familia sawa na Tsh 50,000 ya Kitanzania..
Tena hizi bei ni za hapa kwa Kaburu huko itakua zaidi ya hapa.
Njoo geto, wanafanya delivery, unataka pizza au fried chicken & chips? 😁Naomba tajiri mmoja ajitokeze anipeleke KFC
GoodNaomba tajiri mmoja ajitokeze anipeleke KFC
Hakuna masikini anaweza kwenda KFC faza hiyo pesa wanalipia nyumba mwezi mzima..Africa Kusini kuna masikini wengi choka mbaya