Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72.

Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka.

AP22066287559914-e1656182507264.jpg

----++++++

senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali Shamkhani, has died of wounds sustained in Israel’s initial airstrikes, Iranian state reports.

 
Vita si jambo la kushadadia

#✌️ (PEACE)
 

Attachments

  • Screenshot_20250614_201928.jpg
    Screenshot_20250614_201928.jpg
    52.2 KB · Views: 36
Mmeacha kushangilia ii vita baada ya kuona jinsi Iran anavopoteza miradi mikubwa aliowekeza mda mrefu, baada ya wiki sidhani kama atabakiwa na mradi wowote wa maana.
 
Mnaleta taarifa za maafa ya kivita kwa ushabiki sana.

Vita sikieni tu, mivutano ya hizi nchi raia wasio na hatia wanaumia sana.
 
Ooooh Shamkani umeenda umemuacha Ayatollah mwenyewe ataishije bila wewe Shamkaniii🥲🥲🥲🥲
 
Iran Sasa Hivi Haina ***** ***** Na Mtu Imekubali Yaishe

Meza Ya Duara Itaitishwa Soon Watu Wapatane Amani Irejee
 
Hizo nchi ukiondoa propaganda ni weupe mno

Iran ipo kwenye hali mbaya sana. Wananchi hawautaki utawala wa Ayatollah, ndiyo maana indirectly wanaisaidia Israel iumalize utawala wa Ayatollah. Na Netanyahu amesema kuwa Wairan wainuke kuuondoa utawala dhalimu, na Israel itawasaidia.
 
Back
Top Bottom