Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

Ina maana kuna wairan ni vibaraka wa mossad au wale ni Israel walio omba uraia wa iran .

Sema iran nayo sio poa mkuu wana misimamo
iran ndio taifa la pili kwa idadi kubwa ya wayahudi baada ya Israel. Yaani pale ni nyumbani kwa mayahudi hata ushia wenyewe asili yake ulianzishwa na Myahudi aliyeitwa Abdullah ibn Saba'i. Ndio maana Netanyahu alijinasibu kuwa Iran ipo ndani ya mikono yao...wana intelejensia kubwa sana kuhusu iran .
 
Back
Top Bottom