G
guest-1787677255
Guest
Inatakiwa Netanyau akatae meza ya mazungumzo. Hao wameshatepeta.Iran Sasa Hivi Haina ***** ***** Na Mtu Imekubali Yaishe
Meza Ya Duara Itaitishwa Soon Watu Wapatane Amani Irejee
Inatakiwa Netanyau akatae meza ya mazungumzo. Hao wameshatepeta.Iran Sasa Hivi Haina ***** ***** Na Mtu Imekubali Yaishe
Meza Ya Duara Itaitishwa Soon Watu Wapatane Amani Irejee
Sasa Iran Watu Wataisha Wote Na Hii VitaInatakiwa Netanyau akatae meza ya mazungumzo. Hao wameshatepeta.
Israel kawachezea mchezo mchafuSiamini namna viongozi wa Iran wanavyokufa kirahisi hivi, ukiringaisha na zile mbwembwe za hapa na pale.
Magaidi wote Israel ishawamalizs nguvu, Hezbollah hawapo, Syria kawatimua, Hamas hawapo, Houthis hawapo. Alibaki Iran kapigwa, hao wangekuwepo wangemuumiza Israel maana ni majirani sana asingeweza jilindaProgram yao ya Miaka 40 ya kurutubisha nuclear imekufa Kwa siku moja kuna haja gani ya kufadhili ugaidi?
Mkuu so poa na washashusha mzigo wa 3 an ni hatare..Huu mzigo ukitazama pilika zake ni kama haya tunayoyashuhudia sasa...
Ni kama.libya tu..wale Hezbollah, saivi unaona nchi imetulia na wanaanza kufanya mambo yao bila shinikizo la hezmboroo..Wamechangia sana kumptosha Ayatollah na kuigeuza Iran kama shamba lao! Wafie mbali mahafidhina hao.
Mkuu hivi hio speech uliiangalia wapi ..mana naona vyombo vya habari vya kimataifa ni kama hio speech hawajaionesha sana mana Wana tabia ya kiongoz wa serikali akiongea Wana discuss speech nzima ...hii ya kusema wananchi wa iran wainuke kuondoa Iran regime haijazungumzwa kabisaIran ipo kwenye hali mbaya sana. Wananchi hawautaki utawala wa Ayatollah, ndiyo maana indirectly wanaisaidia Israel iumalize utawala wa Ayatollah. Na Netanyahu amesema kuwa Wairan wainuke kuuondoa utawala dhalimu, na Israel itawasaidia.
Mkuu so poa na washashusha mzigo wa 3 an ni hatare..
Naona kabisa israel wanapenyeza watu kibao pale iran
Ina maana kuna wairan ni vibaraka wa mossad au wale ni Israel walio omba uraia wa iran .Mzigo wa 3 nilishautazama...
MOSSAD hatari sana, jamaa wana operatives ambao ni Wairan ndani ya Iran na wanafanya mishe mishe kwa miaka kazi ni kupenyeza tqarifa Tel Aviv
Ina maana kuna wairan ni vibaraka wa mossad au wale ni Israel walio omba uraia wa iran .
Sema iran nayo sio poa mkuu wana misimamo
Huu ni UONGOIran ipo kwenye hali mbaya sana. Wananchi hawautaki utawala wa Ayatollah, ndiyo maana indirectly wanaisaidia Israel iumalize utawala wa Ayatollah. Na Netanyahu amesema kuwa Wairan wainuke kuuondoa utawala dhalimu, na Israel itawasaidia.
Hawa wanatafutwa sana ndo mana adhabu yao inakua kunyongwa...Yup, Wairan kabisa wanakuwa recruited na kuoperate kwa siri mno...
Mfanonhaya mapigo ya juzi ni kazi ya Mossad ndani ya Iran kwa kiasi kikubwa...
Hawa wanatafutwa sana ndo mana adhabu yao inakua kunyongwa...
Ila mossad ni hatari nahisi ndio intelligence ya kwanza alafu inafata CIA
Yaani Israel kawatenda Maayatollah kwa masaa 48 tu kile alichowatenda Hezbollah kwa siku 10Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72.
Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka.
![]()
----++++++
senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali Shamkhani, has died of wounds sustained in Israel’s initial airstrikes, Iranian state reports.
Ayatollah kaona ahutubie kwa kiingereza cha JamaicaMzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72.
Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka.
![]()
----++++++
senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali Shamkhani, has died of wounds sustained in Israel’s initial airstrikes, Iranian state reports.