Nini kifanyike mkuu?Mnaleta taarifa za maafa ya kivita kwa ushabiki sana.
Vita sikieni tu, mivutano ya hizi nchi raia wasio na hatia wanaumia sana.
Wasilisha taarifa kwa misingi ya " kitaaluma" siyo ushabiki mkuu.Nini kifanyike mkuu?
Hizo nchi ukiondoa propaganda ni weupe mnoSiamini namna viongozi wa Iran wanavyokufa kirahisi hivi, ukiringaisha na zile mbwembwe za hapa na pale.
Ukiwasilisha kitaaluma ndio vita itaisha?Wasilisha taarifa kwa misingi ya " kitaaluma" siyo ushabiki mkuu.
Unaweza kuwa na ndege na vifaa ila kama intelijensia yako imezidiwa na ya adui bado utapoteza tuIran miaka yote ni kujitapa kumbe haina uwezo wa kujilinda si ingewekeza kijeshi hata ndege haina
Hizo nchi ukiondoa propaganda ni weupe mno