iran ndio taifa la pili kwa idadi kubwa ya wayahudi baada ya Israel. Yaani pale ni nyumbani kwa mayahudi hata ushia wenyewe asili yake ulianzishwa na Myahudi aliyeitwa Abdullah ibn Saba'i. Ndio maana Netanyahu alijinasibu kuwa Iran ipo ndani ya mikono yao...wana intelejensia kubwa sana kuhusu iran .