Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Braza co mtanzania tu nenda Udsm au Ifm wanaosoma course za financial, hawaijui forex had I unashangaa vijana was Leo wakat wenzao tunashinda kwenye mt4 wao wanamaliza bando Instagram au fb alfu ndo analia maisha magumu yataachaje kuwa magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona maneno yako makali. Sana ujue kuna. Watu umawaumiza [emoji23][emoji23][emoji23]
Njia sahihi na bora kabisa ya kuuondoa ufala na uzwazwa vichwani mwa baadhi ya watu ni kuwaambia live bila chenga kwamba β€œhili ni koleo na sio kijiko kikubwa”. Unaweza kuyaita β€œmaneno makali”
 
Nakubaliana na ww 100%, uroho wa kutaka kupata kikubwa ndo umenisababishia kuunguza ac 5 mpaka sasa, ila nashukuru lilikuwa darasa la risk mgt pia, kwa sasa naendelea vizuri na sina haraka na maisha tena, natrade kulingana na mtaji wangu.
 
We huijui forex ila siku ukiijua ndo utaelewa kwann unamshauri na jamaa hashauriki tena nusihi muache kwasbb hutoweza hats wazaz wake hawatoweza kumuachanisha na forex na hatokuja kuacha had siku anakufa amini nachokuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Mwezi huu ndio mwezi wangu wa mwisho kuelimisha watu kuhusu forex bureeeeeee kabisa. Tena sijibu mtu inbox nafanya dialogue hapa hapa kwenye uwazi.



Mkuu inauma mno mtu anapinga kitu with very cheapest Reasons.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa boss stop loss inaunguza account ila si kwa mara moja, huwezi kusema stop loss iliondoka na account ina maana aliiweka wapi? Mimi kwa sasa acha tu niendelee kutumia nitaacha nikiwa guru kama wewe, hakuna kitu kinaniumaga kama ku cut loss
Moja ya vitu vinavyoongoza kuchoma account za watu ni STOP LOSS. Tumia risk management nzuri then tumia Stop Loss kulinda *Profit*...



Nasema tena Tutumieni Stop Loss kulinda Profit.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi huu ndio mwezi wangu wa mwisho kuelimisha watu kuhusu forex bureeeeeee kabisa. Tena sijibu mtu inbox nafanya dialogue hapa hapa kwenye uwazi.



Mkuu inauma mno mtu anapinga kitu with very cheapest Reasons.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa boss mi naomba hiyo strategy yako kali inayokupa hela hadi kwenye choppy market

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm Nina ndugu yangu ana shahada ya pili ya uhasibu na CPA lakini anaifananisha forex na qnet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina jamaa yangu alikuwa ananihamasisha sana kujiunga na BIC.

Nikasafiri mkoa kwenda kunielekeza na kunifundisha akaniambia kazi yangu ni kukaa na kuvuna faida.sasa hivi kawa msiri sana na wala hanipigii kunishawishi kujiunga au kutuma screen short ya kuvuna pesa.
 
Hahaahhaha
Beira bwana mpaka melo na ruge wamepigwa nimecheka sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…