Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Don't bother, he is "every one". Remember FX is not for everyone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Don't bother, he is "every one". Remember FX is not for everyone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza co mtanzania tu nenda Udsm au Ifm wanaosoma course za financial, hawaijui forex had I unashangaa vijana was Leo wakat wenzao tunashinda kwenye mt4 wao wanamaliza bando Instagram au fb alfu ndo analia maisha magumu yataachaje kuwa magumuMkuu inauma saba , nipo kwenye channel moja na watu wa mataifa ya ulaya, Asia na America. Kuna vijana Niko nao kule wanaijua forex tangu wakiwa na miaka 9. Kuna huyo mmoja anatokea Dubai yeye alikuwa anafundishwa na baba yake kufanya stocks tangu akiwa na miaka 10. Baada ya kuwa mtu mzima ndio kajiongeza kufanya Forex.
Kuna mzungu mmoja yeye huwa anatengeneza indicators za forex kwa kila anachosoma. Yaani kama ameaoma Quoter Theory yeye anaitengenezea indicator ili imsaidie trader. Jamaa nilisoma Biography yake kuwa ameijua forex tangu akiwa na miaka 16. Leo unashangaa mtanzania tena kwa cheap reasons anasema forex ni utapeli .
Ujamaa ulituharibu saaaana. Ulituziba kujua mambo mengi ya kidunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia sahihi na bora kabisa ya kuuondoa ufala na uzwazwa vichwani mwa baadhi ya watu ni kuwaambia live bila chenga kwamba “hili ni koleo na sio kijiko kikubwa”. Unaweza kuyaita “maneno makali”Mkuu mbona maneno yako makali. Sana ujue kuna. Watu umawaumiza [emoji23][emoji23][emoji23]
Stop loss inatembeaje na mzigo wote bro hebu fafanuaNilikuza $40 mpaka ikakaribia 500, stop loss ikatembea na mzigo wote siku ya news CAD baada ya hapo kila nikijipanga wanaondoka na mzigo mazima, nikasema nitakuja kulaza njaa watoto!
Nakubaliana na ww 100%, uroho wa kutaka kupata kikubwa ndo umenisababishia kuunguza ac 5 mpaka sasa, ila nashukuru lilikuwa darasa la risk mgt pia, kwa sasa naendelea vizuri na sina haraka na maisha tena, natrade kulingana na mtaji wangu.Forex hawachezi no biashara inayohitaji usome zaid ya chuo kikuu narudia zaid ya masters hyo hats professor na pro yake hawez kufanya forex sio kitoto alfu forex ni rahis sana kupiga pesa kuliko hzo bet zenu ila shida ni moja tu usiwe mroho narudia uroho was kutaka upte kibubwa wakat mtaji wako mdogo ndo tatzo LA wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
UsishangaeAiseee
We huijui forex ila siku ukiijua ndo utaelewa kwann unamshauri na jamaa hashauriki tena nusihi muache kwasbb hutoweza hats wazaz wake hawatoweza kumuachanisha na forex na hatokuja kuacha had siku anakufa amini nachokuambiaAlianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia
Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario

Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario[/ontario😁😁😁😁😁
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Moja ya vitu vinavyoongoza kuchoma account za watu ni STOP LOSS. Tumia risk management nzuri then tumia Stop Loss kulinda *Profit*...
Mwezi huu ndio mwezi wangu wa mwisho kuelimisha watu kuhusu forex bureeeeeee kabisa. Tena sijibu mtu inbox nafanya dialogue hapa hapa kwenye uwazi.Braza co mtanzania tu nenda Udsm au Ifm wanaosoma course za financial, hawaijui forex had I unashangaa vijana was Leo wakat wenzao tunashinda kwenye mt4 wao wanamaliza bando Instagram au fb alfu ndo analia maisha magumu yataachaje kuwa magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya vitu vinavyoongoza kuchoma account za watu ni STOP LOSS. Tumia risk management nzuri then tumia Stop Loss kulinda *Profit*...
Nasema tena Tutumieni Stop Loss kulinda Profit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa boss mi naomba hiyo strategy yako kali inayokupa hela hadi kwenye choppy marketMwezi huu ndio mwezi wangu wa mwisho kuelimisha watu kuhusu forex bureeeeeee kabisa. Tena sijibu mtu inbox nafanya dialogue hapa hapa kwenye uwazi.
Mkuu inauma mno mtu anapinga kitu with very cheapest Reasons.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm Nina ndugu yangu ana shahada ya pili ya uhasibu na CPA lakini anaifananisha forex na qnet.Braza co mtanzania tu nenda Udsm au Ifm wanaosoma course za financial, hawaijui forex had I unashangaa vijana was Leo wakat wenzao tunashinda kwenye mt4 wao wanamaliza bando Instagram au fb alfu ndo analia maisha magumu yataachaje kuwa magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
😎😎😎
Yaani mi nashangaa watu wana machunguuMaajabu ya hii biashara ya forex ni kwamba watu wasiotrade ndo wana machungu ya kupoteza pesa kuliko wanaotrade, hao ndugu zenu wanaouza nyumba kwa ajil ya forex hawatofanikiwa asilani, forex inataka heshima na skills
Sent using Jamii Forums mobile app
Templer hafai kutrade news kwa pending orderssirmweli that's true and in addition to it the guy didn't use stop loss beliving to much in his technical and fundamental analysis.