Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Ndio maana nikasema ukitumia risk management nzuri hata kuunguza account itakuwa ngumu sana sana.Ni sawa boss stop loss inaunguza account ila si kwa mara moja, huwezi kusema stop loss iliondoka na account ina maana aliiweka wapi? Mimi kwa sasa acha tu niendelee kutumia nitaacha nikiwa guru kama wewe, hakuna kitu kinaniumaga kama ku cut loss
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kbsMoja ya vitu vinavyoongoza kuchoma account za watu ni STOP LOSS. Tumia risk management nzuri then tumia Stop Loss kulinda *Profit*...
Nasema tena Tutumieni Stop Loss kulinda Profit.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaNdio maana nikasema ukitumia risk management nzuri hata kuunguza account itakuwa ngumu sana sana.
Mtu ana mtaji wa dola 100 anatumia lot size ya 0.09 hapo anatarajia nini. Ila kama akienda na lot size ya 0.01 au 0.02 with trend lazima atusue.
Hata kama ikienda against ni ngumu kuunguza.
Nikwambie tu Stop loss ni mbinu ya big financial institutions kwenye forex kutupiga sisi retail traders. Nakuomba utafute kitabu cha Quoter theory kilichoandikwa na Illian Yutov (Mtaalamu). Ujinze kutrade kwa Quoters
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kitabu cha Illian Yutov kinaitwa Trading With Quoter Theory.. Kina page kama 200+ ila nakuomba usome page 15 za mwanzo. Naamini utaleta mrejesho humu.Sawa boss mi naomba hiyo strategy yako kali inayokupa hela hadi kwenye choppy market
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa... Umenikumbusha mwaka janaa nikiwa chuo, wenzangu wamesaini ka boom ka 500k mimi wala sina muda nasubiri watu wote wamalize, nilovyoulizwa kwanini sina haraka nikaingia kwa Templer nikawithdraw 900k(400$+)..[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu Jana nilimuomba aweke taarifa au Salio lake la bank na Mimi niweke Salio la account yangu ya Tickmil, aliishia kuniita matusi ya kila namna.
NB. Si kwamba Mimi ni tajiri hapana. Ila Forex inanipa Pesa ambayo naamini kuna watu wanatuita wajinga hawawezi kuipata mpaka watakapopewa Pesa za pensheni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali niliulizaga nikaambiwa ukiunguza account inakuwa ya broker lakini hawakunijibu ktk kula na kuliwa labda leo nitapata jibuHa ha ha pole sana. Hukuwa na hawa magwiji wa JF ambao wao kila siku wanavuna pesa? Hivi ukila hela unamla nani na ukiliwa nani anakula hela yako?
Qnet ni weziCheza na ww ili usiandikie mate nakati wino upo.
Prondo ni heri ukishindwa sana kufanya biashara yoyote basi uwe kama wale Mateja day worker wanaopiga debe kuhusu ukonda pale stendi Rafiki.
Hakuna utapeli unaoshamiri kwa kasi sana kama hizi biashara za mitandaoni.
Kuna Rafiki yangu m1 yuko Mwanza alinishawishi niingie QNET kwa mbwembwe nyiiingi za mafanikio ya rafiki zake nilitaka kuingia kwa 6,000,000/= lakini bahati mbaya nilipungukiwa kiasi cha 900,000/= na nilijitahidi kuitafuta zaidi ya wiki 1 niliipata kukamilisha 6,000,000/= lakini roho yangu ilisita sana.
Kifuatacho sasa hivi yule Rafiki yangu aliuza gari, nyumba na hadi sasa hivi anaishi kama shetani kwenye nyumba za kupanga.
Tafadhali kijana fanya biashara halisi(physically contact with customers) lakini hizi biashara za mitandao(online businesses) ni utapeli mtupu kwa 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Forex ni biashara Kama biashara zingine. Ina profit na loss...Hili swali niliulizaga nikaambiwa ukiunguza account inakuwa ya broker lakini hawakunijibu ktk kula na kuliwa labda leo nitapata jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu niambiwe kuwa pesa nilizo panda pale DeCi mabibo eti nitaenda kuvuna Mbinguni sijashiriki upuuzi mwingine wowote unaohusisha pesa kwa urahisi...Hahahahahahah mkuu Deci ilikuwa kiboko
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tangu niambiwe kuwa pesa nilizo panda pale DeCi mabibo eti nitaenda kuvuna Mbinguni sijashiriki upuuzi mwingine wowote unaohusisha pesa kwa urahisi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijui na sichezi hiyo michezo (Kuna mtu kaita forex mchezo humu). We kama ni trader mzuri si unijuze kuliko kunipa homework umri huuForex ni biashara Kama biashara zingine. Ina profit na loss...
Hivi biashara ya shares ikiwa na loss hizo Pesa zinakuwa zimeenda wapi ?? Ukiweza kunijibu hili swali basi utakuwa kwenye njia nzuri ya kujua loss za forex zinaenda wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo kila mjanja na mjanja wakeHahaahhaha
Beira bwana mpaka melo na ruge wamepigwa nimecheka sana
Pole sana ndugu yangu, bora wewe umekiri hujui. Nakuomba tu ujitahidi kujifunza kusoma literatures za forex zipo tele mtandaoni.Mimi sijui na sichezi hiyo michezo (Kuna mtu kaita forex mchezo humu). We kama ni trader mzuri si unijuze kuliko kunipa homework umri huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mello ukimweleza habar za Ontario anaweza kukupiga hata maweHahaahaa
Pole sana ndugu yangu, bora wewe umekiri hujui. Nakuomba tu ujitahidi kujifunza kusoma literatures za forex zipo tele mtandaoni.
Naamini utaelewa vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee una uhakika na haya unayoandika?Yaan mello ukimweleza habar za Ontario anaweza kukupiga hata mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Where Does Forex Money GoMkuu mbona ni yaleyale tena...mi nikajua unanipa madini kwa ufupi hapa kuhusu pesa inaenda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app