Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
 
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
Ni dhahiri huelewi chochote kuhusu forex trading. Take time and do a little research. No research no right to speak.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
Achana na Bank of Tanzania (BOT). Soma hii article kutoka Bank Of England (BOE).. Hiyo ni makala ya Benk Kuu Ya Uingereza. Nakuomba upitie mstari kwa mstari uje kuwaelemisha wengine humu.


Does the Bank of England set the exchange rate? | Bank of England KnowledgeBank - The economy made simple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No. Haihusiani na elimu zingine za darasani.elimu ya forex inajitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni probability!
Sasa haihusiani vipi na elimu zingine?
Unataka kutuambia Forex inamiliki ubahatishshaji kwa jia ya kuotea (yakijitokeza mawingu kidogo mnakimbilia kubashiri mvua kubwa itanyesha), kwa mshangao wenu upepo unayapeperusha mawingu mnajikuta mmeunguza account.
Ni kubashiri tu kama ilivyo kuitabiria kisha kuibashiria Liverpool tu!!
 

iyo ni kama biko, mwache aendelee kupigwa
UZURI NI KUWAACHA TU, MJUE MNACHO JUA
 
Nimekuuliza benki kuu ya tanzania maana naweza kwenda ofisini kwao kwa miguu, sasa wewe unaniletea atiko ambayo nikitaka kupata ithibati yake lazima niwe na hati ya kusafiria ya kielektroni na nauli ya drimulaina!!
Wee vipi wewe?
 
Bsi Ni zaidi ya cocain!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ FOREX πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› PATIENCE IS THE KEY small risk higher reward.😡😡

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…