Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Asante Daudi kwa maelezo yako mujarabu, shida hawataki kufanya tafiti hata walioburn account ni uroho wa kutaka kupata faida kubwa kwa muda mchache mwisho wa siku mtu anajitundikia lot size tembo huku mtaji haumlindi na hyo lot aliyoweka, matokeo yake chombo kiienda south tu tayari kinazama!! Hainiingii akilini kufananisha forex na networking marketing. FOREX ni topic kabisa kwa watu wanaosoma Finance katika course za International finance na International trade, kama ingekuwa ni ponzi scheme unadhan benki zingefanya? Unadhani forex ingeorodheshwa miongoni mwa financial markets tool? Elimu, Elimu jamani, na ukishindwa kufanya si kila mtu atashindwa wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
 
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
Achana na Bank of Tanzania (BOT). Soma hii article kutoka Bank Of England (BOE).. Hiyo ni makala ya Benk Kuu Ya Uingereza. Nakuomba upitie mstari kwa mstari uje kuwaelemisha wengine humu.

Does the Bank of England set the exchange rate? | Bank of England KnowledgeBank - The economy made simple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No. Haihusiani na elimu zingine za darasani.elimu ya forex inajitegemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni probability!
Sasa haihusiani vipi na elimu zingine?
Unataka kutuambia Forex inamiliki ubahatishshaji kwa jia ya kuotea (yakijitokeza mawingu kidogo mnakimbilia kubashiri mvua kubwa itanyesha), kwa mshangao wenu upepo unayapeperusha mawingu mnajikuta mmeunguza account.
Ni kubashiri tu kama ilivyo kuitabiria kisha kuibashiria Liverpool tu!!
 
iyo ni kama biko, mwache aendelee kupigwa
UZURI NI KUWAACHA TU, MJUE MNACHO JUA
 
Achana na Bank of Tanzania (BOT). Soma hii article kutoka Bank Of England (BOE).. Hiyo ni makala ya Benk Kuu Ya Uingereza. Nakuomba upitie mstari kwa mstari uje kuwaelemisha wengine humu.

Does the Bank of England set the exchange rate? | Bank of England KnowledgeBank - The economy made simple

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza benki kuu ya tanzania maana naweza kwenda ofisini kwao kwa miguu, sasa wewe unaniletea atiko ambayo nikitaka kupata ithibati yake lazima niwe na hati ya kusafiria ya kielektroni na nauli ya drimulaina!!
Wee vipi wewe?
 
We huijui forex ila siku ukiijua ndo utaelewa kwann unamshauri na jamaa hashauriki tena nusihi muache kwasbb hutoweza hats wazaz wake hawatoweza kumuachanisha na forex na hatokuja kuacha had siku anakufa amini nachokuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Bsi Ni zaidi ya cocain!
 
😀😀😀 FOREX 😛😛😛 PATIENCE IS THE KEY small risk higher reward.😵😵

EURAUDDaily.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom