Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hehehe ngoja niivizie nipande nayo... Kwenye demo lakini[emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe ngoja niivizie nipande nayo... Kwenye demo lakini[emoji85][emoji85]
subiri collection kidogo then ndo upande nayo ila kuwa makini tu.Hehehe ngoja niivizie nipande nayo... Kwenye demo lakini[emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kabla ya kulinunua umpe nasaha.Akiuza friji uniambie nalihitaji
ONTARIO mbona kuna uzi humu alijitosa Shamba (bagamoyo) kukodisha matrekta ili ajikimu?tafuta ule uzi wa Ontario una kila kitu mle ndani pambanua mchele pumba pembeni kuna vitabu pia mle
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasaidieni wenzenu karibu watawaweka rehani wachumba zao!!Mzee baba kumbe tuko pamoja mimi pia natumia tickmill hebu fikilia mtu una uhakika wa $100 kila siku unataka nn japo kuanzia tarehe 15 this month naanza safari ya kutafuta $35000 hadi disemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?Asante Daudi kwa maelezo yako mujarabu, shida hawataki kufanya tafiti hata walioburn account ni uroho wa kutaka kupata faida kubwa kwa muda mchache mwisho wa siku mtu anajitundikia lot size tembo huku mtaji haumlindi na hyo lot aliyoweka, matokeo yake chombo kiienda south tu tayari kinazama!! Hainiingii akilini kufananisha forex na networking marketing. FOREX ni topic kabisa kwa watu wanaosoma Finance katika course za International finance na International trade, kama ingekuwa ni ponzi scheme unadhan benki zingefanya? Unadhani forex ingeorodheshwa miongoni mwa financial markets tool? Elimu, Elimu jamani, na ukishindwa kufanya si kila mtu atashindwa wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhahiri huelewi chochote kuhusu forex trading. Take time and do a little research. No research no right to speak.Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
Hicho kitabu nimekitafuta pdfdrive.net sijakiona.Tafuta kitabu cha Illian Yutov kinaitwa Trading With Quoter Theory.. Kina page kama 200+ ila nakuomba usome page 15 za mwanzo. Naamini utaleta mrejesho humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anatakiwa Afanye nini mkuu?
Achana na Bank of Tanzania (BOT). Soma hii article kutoka Bank Of England (BOE).. Hiyo ni makala ya Benk Kuu Ya Uingereza. Nakuomba upitie mstari kwa mstari uje kuwaelemisha wengine humu.Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
Ni probability!No. Haihusiani na elimu zingine za darasani.elimu ya forex inajitegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni probability!
Sasa haihusiani vipi na elimu zingine?
Unataka kutuambia Forex inamiliki ubahatishshaji kwa jia ya kuotea (yakijitokeza mawingu kidogo mnakimbilia kubashiri mvua kubwa itanyesha), kwa mshangao wenu upepo unayapeperusha mawingu mnajikuta mmeunguza account.
Ni kubashiri tu kama ilivyo kuitabiria kisha kuibashiria Liverpool tu!!
UZURI NI KUWAACHA TU, MJUE MNACHO JUAiyo ni kama biko, mwache aendelee kupigwa
Nimekuuliza benki kuu ya tanzania maana naweza kwenda ofisini kwao kwa miguu, sasa wewe unaniletea atiko ambayo nikitaka kupata ithibati yake lazima niwe na hati ya kusafiria ya kielektroni na nauli ya drimulaina!!Achana na Bank of Tanzania (BOT). Soma hii article kutoka Bank Of England (BOE).. Hiyo ni makala ya Benk Kuu Ya Uingereza. Nakuomba upitie mstari kwa mstari uje kuwaelemisha wengine humu.
Does the Bank of England set the exchange rate? | Bank of England KnowledgeBank - The economy made simple
Sent using Jamii Forums mobile app
Bsi Ni zaidi ya cocain!We huijui forex ila siku ukiijua ndo utaelewa kwann unamshauri na jamaa hashauriki tena nusihi muache kwasbb hutoweza hats wazaz wake hawatoweza kumuachanisha na forex na hatokuja kuacha had siku anakufa amini nachokuambia
Sent using Jamii Forums mobile app