Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

Mshindi wa Big Brother Hotshots Idris Sultan Anunua nyumba ya kifahari

View attachment 220912
I have seen thousands of people through my life time, got helped and expected to do alot in return, broken and crushed with no one to pick me up. I have struggled from ground level with all sorts of sayings like "you will never make it" to where i am now. I have shaken millions of hands not knowing who has good intentions with me.

The world is for everyone who has a dream and a good will to it. The world is for all who want to change lives and make people smile. The world full of good hearted people is a dream. I stand today and say "my name is Idris Sultan and am not that special, that unique, that strong than most of you. I just dared to go for what i want, put my heart to it and here i am today. This is just the beginning. You're welcome to join." Ghalib Said Mohammed you're a man with a golden heart i will love to be like you in a blink of an eye. Thank you for my new house.
View attachment 220911
Source:idrissultan


- Kwenye blog yangu tuliandika amenunua tukapigiwa simu na wahusika kwamba amepewa na Mmiliki wa Home Shopping Centre kama alivyosema mwenye hapo kwenye maandishi mekundu!!

Le Mutuz
 
- Kwenye blog yangu tuliandika amenunua tukapigiwa simu na wahusika kwamba amepewa na Mmiliki wa Home Shopping Centre kama alivyosema mwenye hapo kwenye maandishi mekundu!!

Le Mutuz

Amempa tu, bure bure, basi inashangaza....
 
- Wacha hizo Mshindani wake Mnigeria aliporudi kwao kuna Mfanyabiashara aliyempa zawadi ya pesa zaidi ya zile za zawadi ya ushindi so sio ajabu soma vizuri maneno aliyoandika mwenyewe Idris na aliyoyasema Ghalib mwenyewe

Le Mutuz

Mkuu baadae watu walikuja kuconfirm kuwa ulikuwa ni uzushi,wanigeria baada ya kuona wameshindwa wakatunga hio story,sasa sijui ni kweli ulikuwa uvumi ama ni kweli alipewa?? 😂😂😂😂😂😂..mie niliona kny insta ya davido,alivyoweka tu hio ishu watanzania wakamshushua ni 'uzushi' hakuna kitu km hicho... 😂😂😂😂😂😂😂😉😉
 
Yaani kapewa tu hiyo nyumba?

Things that make you go hmmmmm..................

Mbona amepewa land na mapesa mengine na Rais Jakaya Kikwete,hamkusema lolote...huyu aliyempa nyumba ndio mnaropoka 😂😂😂😂😂...Idris,you are one lucky bast*ard,and I will love to marry YOU!!!
 
Mbona amepewa land na mapesa mengine na Rais Jakaya Kikwete,hamkusema lolote...huyu aliyempa nyumba ndio mnaropoka 😂😂😂😂😂...Idris,you are one lucky bast*ard,and I will love to marry YOU!!!

Ina maana ni idris pekee ndio amewahi kushinda mjengoni mbona wengine hawajapewa hata karobo heka au kwa vile ni idris
 
Sijataka apewe fulani nimeuliza amepewa kwa vigezo gani
we si umeuliza kwani ni Idris peke yake ndie amewahi kushinda, bila shaka ukimaanisha ikiwa kigezo ni ushindi? Lakini hadi sasa, ni wawili tu ndo wamewahi kushinda... mosi, Richard na sasa Idris. Sasa huyo Richard, ndie huyo kila mahali picha zake za hovyo zipo!
 
Hii nyumba ni moja Kati ya zile zilizo pembeni ya round about ya kuelekea white sand, gharama yako siyo chin ya milioni 300 na zaidi kutokana na kuwa Mita kama 70 kutoka beach


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom