Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Ruttashobolwa njoo uone tamko huku
hahahahaha uknw Mimi ndio nilimpa ushauri wa kununua hiyo nyumba uknw...
Uknw lepanywa road wanamuonea wivu ..
hahahaha i like it
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruttashobolwa njoo uone tamko huku
Kwangu mm maisha ni bahati tu unaweza soma sana na usiiish kwenye nyumba kama hiyo milele ukicheki bwana mdogo kama huyu ana ish maisha ambayo hata hakuwai kuota
Basi Avemaria, hatulumbani tena... haya leta stori, kijana kapewa mjengo watu wanaanza majungu, oh... haiwezekani mtu apewe mjengo wote ule bure bure tu... ni kweli haiwezekani?Teh! Teh! Teh!
Nyie mnaolumbana hapo asanteni kwa kunichekesha
Basi Avemaria, hatulumbani tena... haya leta stori, kijana kapewa mjengo watu wanaanza majungu, oh... haiwezekani mtu apewe mjengo wote ule bure bure tu... ni kweli haiwezekani?
why hard ladykims? Jamaa si wamemzawadia kwa ajili ya ushindi alioupata BBA, au? sema dah...Kwa maisha ya sasa hivi lazima tujiulize bure bure tu? Its really hard to believe
why hard ladykims? Jamaa si wamemzawadia kwa ajili ya ushindi alioupata BBA, au? sema dah...
worth millions of TShs! Sasa ladykims, ina maana akishapewa hiyo hati ndo itafuta mashaka kwamba how come mtu anapewa bonge la mjengo bure bure? au hofu yako ni kwamba lazima Idris atakuwa amepewa in exchange of something...That house ina worth sh ngapi? Mtu akupe tu bila kazi yoyote kisa kashinda bba. I just dont believe it kwa maisha ya sasa mtu akikupa 10,000 tu unaanza kujiuliza maswali sembuse jumba la ghorofa. Ahakikishe amepewa hati ya nyumba tu tena original.
worth millions of TShs! Sasa ladykims, ina maana akishapewa hiyo hati ndo itafuta mashaka kwamba how come mtu anapewa bonge la mjengo bure bure? au hofu yako ni kwamba lazima Idris atakuwa amepewa in exchange of something...
anyway, HSC ni wakwepa kodi wazuri, so kila ki2 kwa upande wao kinawezekana...Wanajua wenyewe wawili atleast atakuwa na hati ya kusema umenipa na ni yangu isije kiwa ya wema sepetu kunkunyang'anywa gari
- Kwenye blog yangu tuliandika amenunua tukapigiwa simu na wahusika kwamba amepewa na Mmiliki wa Home Shopping Centre kama alivyosema mwenye hapo kwenye maandishi mekundu!!
Le Mutuz
- Wacha hizo Mshindani wake Mnigeria aliporudi kwao kuna Mfanyabiashara aliyempa zawadi ya pesa zaidi ya zile za zawadi ya ushindi so sio ajabu soma vizuri maneno aliyoandika mwenyewe Idris na aliyoyasema Ghalib mwenyewe
Le Mutuz
- Kwenye blog yangu tuliandika amenunua tukapigiwa simu na wahusika kwamba amepewa na Mmiliki wa Home Shopping Centre kama alivyosema mwenye hapo kwenye maandishi mekundu!!
Le Mutuz
lazima kuna something behind the scene si bureTusijesikia kanyanganywa au kaolewa kawekwa kinyumba
Mbona amepewa land na mapesa mengine na Rais Jakaya Kikwete,hamkusema lolote...huyu aliyempa nyumba ndio mnaropoka 😂😂😂😂😂...Idris,you are one lucky bast*ard,and I will love to marry YOU!!!
Nendenii pm hapa hatuko kwenye haya mambo ya salam! Tunataka kujua anepewa nyumba ya ghorofa moja tena naeneo ya fukwe za bahari ya Hindi kwa vigezoo gani?