Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

hiyo ndo manake mrembo by nature na wanaibadilisha ile usiku usiku ukiwa makini na ukiongeza sauti utawasikia vizuri sana kwa watoto weka mbali nao kabisaaa.

Mmmmh bana...its black and white coz usiku hawawezi kuacha taa on...so kwa housemates ni giza ila kwa watazamaji ndo wameweka hivyo ili tuone what's goin on
 
Mtanzania au mumarekani huyo wajameni?kutwa aongelea marekani.....wa TZ bwana kuchakachua kila mahali hapa nyumbani alikosekana mtu mpaka kaenda kuzolewa huyo Nando toka America? kah.....kichefuchefutu.

bora wangempekeka Wema Sepet.!!
 
Kidume huyo awakamue mademu wote

Mfumo 'Dume'...mwaka jana sijui alivyokamuliwa Bhoke tulikasirika hapa tukamuita malaya, anatuaibisha, mpaka Bungeni wakasema hawatambui ushirikiwa waTanzania kwenye Big Brother...leo kashiriki mwanaume, kakamua..tunaona 'ushujaa'! Kaka akikamua ni ushujaa..dada akikamuliwa ni dhihaka!
 
hahaa mhindi nae ni mzee wa chumvini.....,
maana kuna mda alishuka pale kati
wamejifunika mashuka sana baana mpaka uhondo unakosekana!! ila kuingia kati huku umejifunika shuka mwili mzima inataka moyo sana hahaa naweza sema ni uzalendo wa hali ya juu
 
so hamlali mnasubiri kuona wanavyogegedana? watu wanaishi maisha yao nyie macho kodo...
 
Back
Top Bottom