Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Maendeleo hayana mataga
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 mshikaji acha hizo bhana.
By the way nilitarajia mleta mada angefurahi kwa sababu urafiki wao umekuwa undugu (ni mtu na shemejie sasa), badala yake anakuja na bandiko la malalamiko.
Eti
 
una matatizo si bure
 
Huyo shemeji
 
Na wewe mwaka huu lazima nikuoe kudadeki zako! Huwezi kuendelea tu kuchezewa hapo Lumumba miaka nenda! Dada yako kaolewa, wewe kazi yako kuwakatikia tu viuno mabosi wako hapo Lumumba!

Na baada ya ndoa, nitakupeleka mwenyewe kwa Kamanda Mbowe ili ukamsalimie na kupiga nae selfie!! Na utatambulika kama mke halali wa Kamanda Tate Mkuu πŸ˜‡
 
Khaa. Sasa dada yako ulitaka aolewe na nani?
 
Mkuu ulitaka umuoe wewe dada yako??? Acha jamaa enjoy utam
 
Ni jambo la kupendeza Sana rafiki yako kumuoa dadako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sometimes kwenye maisha unaeza kuwa njia ya wenzako kufanikiwa, sasa badala ushukuru Dada ako kaolewa na rafiki ako tena kama familia may be unamjua in and out as mmekua wote, kwanza bora we ni mwanaume maana ungekuwa wifi ww kuna watu wangejuta.
 
Ko hyo mbususu ya dadaaako ulitaka uile wewe!!?

Acha wivu mzeeeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanawake wanavosotea ndoa wewe unataka uzuie riziki ya Dada yako, na je kama walianza mapenzi zamani utajuaje?
 
Acha hizo em mwache rafiki ako aoe na unatakiwa uhudhurie harusi yake bila kukosa!

Au wewe unaoaga dada zako..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…