Na Yusufu hakuwahi kughushi vyeti.Yusuph hakula 10% kwenye ununuzi wa Ndege wala kutaja list ya wauza Unga kisha kufanya blackmail kuwakomoa watu kuwachukulia mali zao kuchukua unga kumpatia Le mutuz kwenda kuuza South Africa na china, Yusuph hakuwa na Tabia za ajabu kama za Daud Bashite
😂😂😂😂😂 sio mjinga kiivyo.Umenukuu wapi?
Ingawa bashite ni mjinga lakini hawezi kuandika utumbo huuu
Nadhani huzijua protocol za urahisi. Uraisi hauna mazoea.Rasi anakutana naye mara kwa mara hakuona haja ya kumpa mkono, ndio maana makonda hajashangaa: mengine ya kwenu
Yusufu alipata baraka sababu alikuwa ni mwadilifu, wewe sio mwadilifu hata kidogo kuanzia ulaghai katika elimu na kushiriki vitendo vya utekaji na mauaji ya mahasimu wa bwana yakoYusuph alichukiwa sana na ndugu zake eti kisa anapendwa sana na baba yake mzee Jacob kuliko watoto wote.
Wale ndugu zake na Yusuf wakapanga njama mbaya sana juu ya Yusuf na wakamtenda vibaya ila mwisho wa siku ule ubaya ukageuka baraka kwa Yusuf mpaka akawa kiongozi mkubwa tu Misri.
Hivyo endeleeni kunichukia ila kumbukeni chuki zeni zinanizidishia baraka kwa Mungu.
Yusuf hasingeweza kuwa kiongozi mkubwa wa Misri kama asingechukiwa na ndugu zake.
HahahahaaaaaNa Yusufu hakuwahi kughushi vyeti.
Wewe unatakuwa mnufaika wa mfumo dhalimu wa Daud Bashite ndiyo maana inakuuma boss wako kuchambuliwaHabari za uzushi zinashusha hadhi ya jukwaa pelekeni kwenye jukwaa lake huko!
Umekosea njia bro. Sio kila anaetetea hili jukwaa ni mvuta bangi kama wewe mnatuchafulia humu mara ccm mara cdm mara cuf kwani mmeambiwa wote tuna vyama humu!!Wewe unatakuwa mnufaika wa mfumo dhalimu wa Daud Bashite ndiyo maana inakuuma boss wako kuchambuliwa
Mwenye shughuli kesha sema hii nchi ni ya vyama vingi ila ccm wanajitia upofu, kama JPM hakumtaka maalim au upinzani angeacha kwenda, nchi ya wote, shughuli ya wote.INAONEKANA MAALIM SEIF KAJIPENDEKEZA AKUKARIBISHWA NA WAKOME
Hata kwenye utambulisho Msigwa alimtambulisha Ally Happi lakini hakumtambulisha Bashite au kwa sababu waalikwa wanamfahamu? eti eeee, maana hata kwenye harusi bwana harusi hutambulishwa..Rasi anakutana naye mara kwa mara hakuona haja ya kumpa mkono, ndio maana makonda hajashangaa: mengine ya kwenu
Mfano Yusuph angekuwa Hai angefanya kitendo kama chake cha kwenda Dodoma na kina nyaulingo heri kisanduku cyprian Musiba na kikundi chake kumpiga Risasi Tundu Lisu?
Wala kuumiza watuNa Yusufu hakuwahi kughushi vyeti.