Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Kabila gani we jamaa? Your too soft,,,hujawaigi pitia heka heka za mapenzi kabla hujamuoa?, huyo mwanamke kashajua mazaifu yako ndio maana anakufanyia ivyo,,,kama hataki muache nendeni mahakamani talaka itoke mgawane mali na kujua hatma ya watoto basi otherwise atakutesa mwishowe utapata maradhi na kuyumba kiuchumi maana so far muda mwingi unatumia kwenda polisi kuliko kudhalisha,,,by the way utakua unaenda police kila siku pasipo solutions yoyote? Hivi inakuingia akilini mkuu ? Huna ndugu wakukusaidia kama wewe ni muoga,,? Au wanasheria si wapo mkuu,,by then police ulishawambia kwamba mwanamke kaondoka na docs zote za mali bila ridhaa yako? Na anaondoka nazo kwasababu zipi?

Mkuu changamka, wake up, act as a man,,unatakiwa kukaza,,wanasheria wapo,,hujachelewa
NI kwel usemacho, juzi kati wakat shule zinafungua, nika deposit ada za watoto wangi wawil walio primary school, aisee brother angu alipojua alikasirika sana, akasema "mtu kachukua watoto na bado unajipendekeza kulipa school fees, umerogwa au?"
Bi
 
Pole sana mkuu.
Huyo rafiki yako anataka kuanzisha vita nyingine tena. Mzuie asifanye hivyo.

Kubali yaishe.
Kuanza upya sio ujinga.
 
Kama Mimi ndo wewe nisingesimulia maana ni aibu!! Kama hujatunga story basi huna aibu mzee. Mwanamke unamuombaje msamaha na hayupo kwako Bali na yote akamtukana mzee wako Bado unaimba msamaha?

Miaka 35 Bado hujawa mwanaume na anafanya hayo yte anajua udhaifu wako 100% kwamba huna maamzi na ulikuwa una mtegemea yeye kukuamlia hata hapo kwako!!

Manyanza
Ngoja niusome huu mkasa Ng'wanangwa leo nilikuwa na hangover Niliamua kuwa mbali na simu maana uchaguzi wa Lissu na Mbowe umenifanya nilale saa 10 alfajir
 
Wanangu wakikua nitawaonyesha hii thread wajue definition ya Mwanaume dhaifu wasiwe maboya .
 
Mi nashangaa skuizi watu wanapenda maushauri! Baba zetu walikua wanajua wao wanaume maisha popote mama akizingua anaachiwa mji kimya kimya mnasikia tu baba enu anafamilia amenzisha Makambako amejenga huko. Wala mzee haongei ni watu tu wamekutana nae huko
🤣🤣🤣🤣
 
Ni kwamba huna nguvu za kiume au tatizo nini.
Unashindwa nn kumove on na kuanzisha maisha na mahusiano mapya?
Mara nying ukiona mwanamke ana behave hivi au ana hisi anakumudu sana kunakuwa au kulikua na changamoto kitandani baina yenu.
Otherwise it doesn't make any sense
 
Katika sababu zooote, kitanda hakijawah kuwa changamoto kwangu
 
Kama Mimi ndo wewe nisingesimulia maana ni aibu!! Kama hujatunga story basi huna aibu mzee. Mwanamke unamuombaje msamaha na hayupo kwako Bali na yote akamtukana mzee wako Bado unaimba msamaha?

Miaka 35 Bado hujawa mwanaume na anafanya hayo yte anajua udhaifu wako 100% kwamba huna maamzi na ulikuwa una mtegemea yeye kukuamlia hata hapo kwako!!

Manyanza
Sijawah muomba msamaha baada ya yeye kuondoka home.
Sijawah mpigia simu wala kutuma ujume mfupi hata sasa ninavyoandika hapa.
nilisitisha mawasiliano nae, hato niliyafanya kabla hajaondoka home
 
Kama Mimi ndo wewe nisingesimulia maana ni aibu!! Kama hujatunga story basi huna aibu mzee. Mwanamke unamuombaje msamaha na hayupo kwako Bali na yote akamtukana mzee wako Bado unaimba msamaha?

Miaka 35 Bado hujawa mwanaume na anafanya hayo yte anajua udhaifu wako 100% kwamba huna maamzi na ulikuwa una mtegemea yeye kukuamlia hata hapo kwako!!

Manyanza
Nimeusoma mkasa wa jamaa kwa kweli bado hajawa mwanaume kamili halafu kwanini mwanamke anakudharau kiasi hicho?
Nguvu za kumkaza vizuri inaonekana ni tatizo na ndio maana analeta dharau kama hizo kwa sababu yupo tayari kukujibu na kukufanya kila aina ya vitimbwi.

Huyu Mshikaji inaonesha anampenda sana huyu mwanamke na manzi ashalijua hilo ndio maana anamuendesha kama gari bovu.
 
Back
Top Bottom