Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
-
- #21
NI kwel usemacho, juzi kati wakat shule zinafungua, nika deposit ada za watoto wangi wawil walio primary school, aisee brother angu alipojua alikasirika sana, akasema "mtu kachukua watoto na bado unajipendekeza kulipa school fees, umerogwa au?"We mwamba ni mpole sana. Pole sana
Nutalizingatia hili mkuuTafuta mwanasheria. Polisi wanaogopa sana wanasheria..
sawa mkuuBora yeye awe upande wa kumaliza kuliko upande wa kuanzisha.
Ndicho mzee wangu ameniambia piaKwa hapo alipofikia huyu mkeo anaweza kukufanya kitu chochote kibaya hata kukuua......kuwa makini.
ukiwa vitani usimuonee huruma adui
Wadau wa nguvu washafika, wanapiga kwenye mshono tu, hajna huruma wala nini, black and whiteNingeshangaa.. Comment kama hii ikosekane
Ahsante sanaaaKwanza pole kwa yote.
Shukrani chief.Mkuu mwanamke akishaishiwa hisia kwako ni zaidi ya mnyama.
Na bila shaka anakazwa nje, hilo halina ubishi.
Hapo wewe vaa uso wa mbuzi, mpe separation anayoidai huku ukitabasamu, ili uwe huru uendelee kutafuta maisha.
Unavyozidi kuonyesha bado unamuhitaji unampa nguvu kubwa sana. Na ataitumia kukumaliza - wewe mwanaume huna any legal right / resolve kwenye ndoa, na ndio maana anatumia mkono wa sheria - polisi e.t.c kukumaliza.
Na wewe kukubali kuwa umemdhuru mwili ndio umejaa kwenye mfumo. Ungekana kwamba hujamgusa yasingefika huko. Ungesema kwamba kapigwa huko alikokuwa anachepuka.
NEVER ADMIT GUILT.
Solution: uliza swali moja, anataka nini kifanyike ili muende your separate ways? Then mpe anachokitaka legally ili na wewe upate share yako kidogo.
Usiulize kuhusu watoto wala nini. Wanakufahamu, watakutafuta.
Once her hold on you is gone hiyo ya kukufanya kila siku chache uende polisi, fanya maisha.
Hiz teknolojia sizijui mkuu nasikia tu zina madhara ni kweliAkichukua udongo atamsabaratisha vibaya Sana .
Katika ulimwemgu wa roho udongo una nguvu Sana tena Sana .
Kweli kabisa Mimi naona huyo rafiki yako asifike huko .Hiz teknolojia sizijui mkuu nasikia tu zina madhara ni kweli
Zinafanya kazi vizuri sana mkuu!Hiz teknolojia sizijui mkuu nasikia tu zina madhara ni kweli
Nimecheka kwa sauti kubwa π π π π π π Fanton MahalWakati anasubir karma....atapigwa yeye juju afe.
Sio kwamba sitaki kumuacha, nilikua nafikiri ni hasira tu hapo mwanzo ndio maana nikawa natafuta suluhu. Ila sio kwamba ninamganda, ndio maana alipoondoka sikujisumbua kumtafuta, na alipoona nimekaa kimya ndioa akaanza kunipeleka kwenye vyombo vya sheria.Kwa nini hutaki kumuacha huyo mwanamke?